Muundo mpya wa utumishi kwa wakufunzi wa vyuo

regismoffe

New Member
Feb 10, 2012
1
0
wakufunzi wa vyuo vya Ualimu walipewa muundo mpya lakini cha ajabu muundo huo mpya ulionyesha utekelezaji wake uanze julai 2011 hii ni pmoja na mishahara mipya. Mpaka sasa hakuna utekelezaji wowote juu ya hili na cha ajabu zaidi barua zimewafikia wahusika ikionyesha muundo huo mpya ikiandikwa tarehe 12/9 /2011. Hii ni sababu ya ubabaishaji wa wizara hii ya Elimu na ukaimu wa nafasi nyeti za utoaji maamuzi. Mbaya zaidi hata wanachuo waliopaswa kwenda mafunzo kwa vitendo wamepewa siku 28 wakati maamuzi ya BUNGE tukufu ilikuwa waende siku 60 sasa siku 28 kuanzia tarehe 1march hadi tarehe 28 march je kuwajenga walimu ama
 
Mi napita 2 mana siielewi serikali au baadae mtaambiwa muidai serikali
 
Tunashughulikia malalamiko yenu Wakufunzi, endeleeni kupiga mzigo.
 
wakufunzi wa vyuo vya Ualimu walipewa muundo mpya lakini cha ajabu muundo huo mpya ulionyesha utekelezaji wake uanze julai 2011 hii ni pmoja na mishahara mipya. Mpaka sasa hakuna utekelezaji wowote juu ya hili na cha ajabu zaidi barua zimewafikia wahusika ikionyesha muundo huo mpya ikiandikwa tarehe 12/9 /2011. Hii ni sababu ya ubabaishaji wa wizara hii ya Elimu na ukaimu wa nafasi nyeti za utoaji maamuzi. Mbaya zaidi hata wanachuo waliopaswa kwenda mafunzo kwa vitendo wamepewa siku 28 wakati maamuzi ya BUNGE tukufu ilikuwa waende siku 60 sasa siku 28 kuanzia tarehe 1march hadi tarehe 28 march je kuwajenga walimu ama

hv mlisharekebishiwa sasa mkufunzi?
 
Back
Top Bottom