Picha za Leo Mkutano wa CDM Tengeru Arusha

6.+Watu+kibaoo+wanapenda+CCM+King'ori.jpg

Masikini wanatia huruma!
 
Hapo wengi wamekuja kuwainjoy, wangine hawana vitambulisho vya kupigia kura na wengine wametoka Arusha na moshi kwani leo costa zote za Arusha moshi zilihamia Arumeru east. Kesho watu hawa watakuwa wanachukua na kuweka waaaaaaaa kwa CCM coz hatutishwi na umati wawatu kwani haya sio mashindano ya Ngoma za kisukuma ya kuangalia malenga aliyejaza watu wengi ndoo anakuwa mshindi nooo siasa ni zaidi ya sayansi na kesho Wananchi waarumeru wanakwenda kuwashangaza Watanzania wapenda kuangalia picha kwa kuipa kura za kutosha CCM,
View attachment 50642 View attachment 50643 View attachment 50641 View attachment 50644 Wakuu picha ani nyingi sana ila kwa kuanzia angalie hizo. Ona sera za CCM!!!!!!!!! Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee???????????????????? Pigaaaaaaaaaaaa Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii??????????????? Kijaniiiiiiiiiiiiii. Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii??????????? Kijaniiiiiiiiiiiiii. Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii??????????? Kijaniiiiiiiiiiiiiiii Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii????????????? Kijaniiiiiiiii. Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeee. Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Jamani naiombea CDM ishinde Arumeru. Mungu wangu wafungue akili na fikra wananchi wa Arumeru waione CCM jinsi inavyozidi kuwafanya wananchi kuendelea kuwa maskini.

kinachoondoa umaskini ni kufanya kazi sio kulalamika.umasikini hauondolewi na chama zaidi ya kazi
 
Ccm ccm aaaah aaaah chama cha mapinduzi ccm namba wani Siyoi anawekaaa anatoaaa waaa ushindi unakujaaaaaa!
 
Ccm ccm aaaah aaaah chama cha mapinduzi ccm namba wani Siyoi anawekaaa anatoaaa waaa ushindi unakujaaaaaa!

Haoi mwenyewe hapigi kura, ni wajinga pekee watakaompigia kura mtu asiye na shirika nao. Ubinafsishaji mbaya, yaani ccm wamebinafsisha mpaka akili zako! duh!!!
 
Naomba Mungu uchaguzi ufanyike kwa amani. Ila magamba waache kabisa mchezo wa kuchakachua kura.

AMANI ni diploma inayopatikana makaburini!!!! uwe na moyo mkuu, songa mbele daima.
 
kinachoondoa umaskini ni kufanya kazi sio kulalamika.umasikini hauondolewi na chama zaidi ya kazi


you are nuts!

kazi kufanywa inategemea mazingira ya kuifanyia kazi hiyo yakoje,
na mazingira yanatengenezwa na mamlaka iliyopo. nenda leo kukata leseni
ya biashara pale jiji au halmashauri bila kilemba cha juu ya gharama halisi
uone kama utapata hiyo leseni kwa wakati.
 
Yumkinika hata kama wakiiba sidhani kama zitatosha kuifanya CDM isiibuke mshindi, labda sana sana wajitahidi kupunguza aibu ya kushindwa.

wewe peleka umagamba wako huko manake laiti ingekuta hata unapiga kura ingekuwa nafuu lakini hupigi na mimi nawai asubui na mapema kupiga kura yangu nakuilinda
 
Askari Polisi wamekumbushwa kutoegemea upande wowote wa vyama vya kisiasa, msisitizo huo ulitolewa na CHADEMA kuanzia mwezi wa Februari 2012 tizama clip hii ikisisitiza kuwa hata vyama kama CHADEMA wanahoja inayowasaidia POLISI kuwa na mafao bora kuliko CCM anabayo inapuuza hali ngumu ya maisha ya POLISI

Hivyo asubuhi ya tarehe 01.04.2012 na ktk mkesha kuelekea asubuhi ya tarehe 01.04.2012, POLISI wasijihusishe na kuvuruga uchaguzi kwa namna yoyote ile hii ni kwa ajili ya manufaa ya wa-Tanzania wote ikiwemo askari POLISI:


Video kwa hisani ya Chadematv wa youtube.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom