Steven Kanumba: Has a Very Touching Story!

Ni siku nyingi sana sijasikia habari mbaya asubuhisubuhi (dawn) mpaka leo hii. Jaman hii habari ya kifo cha The Great Kanumba ni very touching jamani. May his soul rest in peace.
 
Big up Mkuu Pasco...

RIP Kanumba.

Binafsi nilipomsikia akitamka kuwa hana mpango wowote wa kuoa nikajua huyu kijana maisha yake yatakuwa mafupi. Kwa utajiri aliokuwa nao na jinsi maisha yetu wabongo yasivyo salama alihitaji HOME Management. Funzo kwa vijana wa kisasa
 
Jamani, baada ya kupokea taarifa za kifo cha Steven Kanumba, nimeikumbuka hii post nilibandika tarehe kama ya leo exactlymiezi miwili iliyopita!.

Kwa vile wife na watoto ni fans wa Kanumba, saa hizi amewaamsha watoto wote wamekusanyika sebuleni as is ni msiba wetu!.

Ama kweli nimeamini maneno ya walimwengu "Wanaopendwa na Wengi, Hufa Wangali Vijana"!.

Nimeguswa sana!.

Rip Steven Kanumba!.

Pasco!.

Jana niliwanunulia familia 'kijiji cha haki' ....dah!
RIP Steve!
 
inasikitisha

Kwa
kweli huu ni ujumbe kwa watu wote walioko physical kwenye
relationships! Nina rafiki wa kike, mumewe akichelewa kurudi anamuwasha
kibao. Nimempigia na kumuonya tena. Wanaume na wanawake mlioko
physical, it is not worth it kuvumilia relationship ya kupigana. Mtu
anazima ndoto zako, umejuana nae 2 years ago! Damn!
 
Jana niliwanunulia familia 'kijiji cha haki' ....dah!
RIP Steve!

yah! Wamama na watoto wengi ni fans wa uongo wake wa wazi. Fiance kanipigia simu kuniuliza imebidi niingie jamvini kupata ukweli.
 
kuna filamu yake ya Big Daddy alicheza na watoto wawili
mwanangu anaipenda sana, aliposikia Kanumba amefariki amelia sana
utadhani mtu mzima.
 
jamani nitamkumbuka kwa movie yake ya uncle JJ ,inasikisha sana hii ni habari nzito kwa watanzania na tasnia nzima ya filamu.ooh mungu iweke roho ya Steven Kanumba The great ,pema poponi
 
Big up Mkuu Pasco...

RIP Kanumba.

Binafsi nilipomsikia akitamka kuwa hana mpango wowote wa kuoa nikajua huyu kijana maisha yake yatakuwa mafupi. Kwa utajiri aliokuwa nao na jinsi maisha yetu wabongo yasivyo salama alihitaji HOME Management. Funzo kwa vijana wa kisasa

Kuna kitu hapo chunguza mjomba utabaini,inawezekana alijua kila kitu,maana ukienda kutafuta utajiri unapewa miaka ya kuwa na mafanikio then unavuta,huyu jamaa alianza kupata mafanikio 2004/2005 mpaka sasa ni miaka takriban 7,chunguza hapo!
 
kuna filamu yake ya Big Daddy alicheza na watoto wawili
mwanangu anaipenda sana, aliposikia Kanumba amefariki amelia sana
utadhani mtu mzima.

Jamaa nyota yake iling'ara sana hasa kwa wakina mama na watoto R.I.P
 
Kuna kitu hapo chunguza mjomba utabaini,inawezekana alijua kila kitu,maana ukienda kutafuta utajiri unapewa miaka ya kuwa na mafanikio then unavuta,huyu jamaa alianza kupata mafanikio 2004/2005 mpaka sasa ni miaka takriban 7,chunguza hapo!

mhh ! King
 
R.I.P Kanumba,jaman mie nilikua nikiona movie yoyote yenye sura yake wala cjiulizi nikununua tu kiukweli inauma,alikua nembo ya nchi kwenye tasnia ya filam,alijitahidi kuitangaza nchi yetu kupitia kazi zake!jaman tujiandaen tu kwan hatuijui cku wala saa ya sisi kutangulia mbele ya haki!
 
Mimi siyo mpenzi wa movie za kibongo ila nimewai kutizama movies chache za Kanumba na Ray,

Kwenye upande wa kipaji naweza sema Kanumba alibarikiwa kuwa nacho, akiunganisha na weledi wake aliweza kutoa movie nzuri sana na zinazogusa jamii moja kwa moja

Tasnia ya filamu Tanzania imepoteza mtu muhimu sana.

R.I.P The Great
 
Back
Top Bottom