Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

CDM mwandaeni mtu makini kulichukua jimbo la MTERA huyu kijana kavamia siasa.
Mnapoteza muda bure kumjadili kwa kuwa ameonyesha dhahiri kuwa hana makuzi mazuri ya asili ya Watanzania.
Ile mitusi ya chooni ni kipimo tosha kwake!
Chunguzeni kwa makini michango yake awapo bungeni, mtagundua anaongozwa sana na ushabiki na hoja zake si za kuwatetea wananchi wa jimbo lake zaidi ya kusifia serikali na unafiki wa kuponda wapinzani. Huyu hafai na ninadhani hatakuwa na muda katika medani za siasa za hapa Tanzania.
 
Kuna mtu anayemfahamu Kwa ukaribu aliniambia huyu jamaa alikuwa Fundi viatu!

Aaaah ndio maana marehemu Remy Ongara (R.I.P) aliwahi kuimba, "eti mtu fundi viatu mnampa ukatibu wa CCM, kazi yake itakuwa mjungu na uchawi,atakuwa anawaroga wasomi"
wimbo wenyewe unaitwa Mrema.
 
Kuna mtu mmoja anamfahamu vizuri anasema jamaa alikuwa MC kwenye sherehe za harusi. Pia anasema hata huku kwenye mitandao hajui kama watu wanadiscuss upuuzi alioufanya, sababu hata computer hajui kutumia.
 
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo kwenye ofisi ya Bunge zinaonesha alipomaliza darasa la saba alijiunga na ccm college-Ihemi. Huko sijui alisoma nini! Baadae inaonesha aligombea udiwani kawe kupitia cuf, pia zinaonesha alipotoka cuf alijiunga chadema na kurudi ccm. Ccm alipewa ukatibu wilaya ya tarime kabla ya kugombea ubunge jimbo la mtera akiwa ameshikwa mkono na mzee makamba kwenye kura za maoni.
alisomea matusi, kwani wewe hujui?
 
Inabidi Ndugu yetu Nape atusaidie kutueleza ccm college inafundisha nini, sababu yeye ndiye katibu wa Itikadi na uenezi wa ccm. Arumeru imemfichua kihiyo Lusinde. Taarifa zinasema kuwa alikuwa MC kwenye za harusi.
 
EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Mbigili Primary School
Primary Education
1980
1987
PRIMARY
CCM College Ihemi
Certificate
2007
2008
CERTIFICATE


Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary - Tarime District
2006
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Secretary/Accountant
2006
2007
CHADEMA
Member - National Executive Board
1995
Civic United Front, CUF
Secretary - Kawe Constituency
1992
1995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary

Wakuu,

Mmeona CV yake lakini?
Tusimlaumu DOBI wakati KANIKI ni rangi yake.
Nahakika ndani ya CCM, hakuna aliyeyaona matusi ya Mbunge huyu kwani, kwao hiyo ndo lugha yao toka Mkapa hadi Mchemba, sembuse Lusinde!!


Unadhani zaidi ya matusi wangewaambia nini wana-Arumeru? maana walipaswa wawaambie "....ndugu wana Arumeru tunaomba tena mtupe ridhaa ya kuliongoza Jimbo hili kwani, ndani ya miaka 51 baada ya Uhuru tumefanya 1,2,3,4,5,6,7,8....... nk. nk." Sasa kwavile hawana rekodi yoyote nzuri ya maendeleo huko Arumeru na Tz nzima ndo wakamtuma huyo SHOSTI wao AKAROPOKE aliyoropoka yote huku akiwa na baraka zote za NEC.

 
Rugumisa Ben,
Nakuabliana na wewe kwa asilimia 100 kabsa, ni kweli kabsa hawez kuwa na access ya mitandao ikiwa hajui kutumia kompyuta.
Kama angekuwa anachungulia humu JF na knye mitandao mingine ninadhani angeweza kupunguza ujinga alio nao! Elimu yake ni kipimo tosha kuweza kumfahamu!
Nasikisitikia CCM kuwa kokoro, kwa kuwa ni dude lililobeba majuha wengi wasioweza kusoma alama za nyakati mfano wa lusinde.
 
lusinde ni mtoto wa mtaani km hamuamini nendeni kawe ukwamani alikua anashinda rose bar au open air anaropoka maneno ya kijinga anajulikana hata watu wa kawe walishangaa kuona watu wa mtera wamerogwa na nani?alikua anakaa na wale vija wala unga pale ukwamani anaomba 500 walikua wanamuita mzee wa sindano kaja
 
kweli mtera wanayo kazi,unapokuwa na kiongozi boga kama huyu sijui utamuitaja mana hawa ndugu zetu wa mtera wakimwita lusinde mjinga wao ndo wataonekana wajinga zaidi yake maana waliwezaje kumchagua mtu mjinga kama nao sio wajinga,kama wapo humu..sinania ya kuwatukana bali nawatahadharisha wamsubiri atakapo kuja kuomba kura tena wampe adhabu anayostahili..hata hivyo kurudia kosa ndio kosa sio kufanya kosa.
 
Hawa ndo walivyo, kwa sehemu ya siasa za ccm huu ndio mtaji mkubwa kwao, ni majungu, fitina,matusi na propaganda za kiupumbavu hata watoto huko meru, waliwadharau kwa kupiga ukunga kila wakiona rangi ya Kijani, Hawa viongozi waliochaguliwa kwa njia ya wizi bila kuangalia elimu ya m2 na ustaarabu wa kwa jamii inayo mzunguka.
Hivi watu wa mtera na iramba mashariki haoni kwamba lusinde na Mwigulu ni uozo na wanawatukana wakubwa wao.
\ Naombeni haya matusi yaanikwe kila mahali hasa kwa jamii ya wasomi waone sura halisi ya viongozi wanaotuongoza.
Ongera CHADEMA na hii ni chachu kwa vijana tupiganie haki zetu, usiogope chochote tulinde haki zetu kwa kuleta mabadiliko nchini
Nawasilidhi hoja
 
Aiseee nashindwa kuwaelewa hata wanaoshangilia, sidhani kama wanamwelewa vizuri. Hii inatupapicha kuwa watu huchagua CCM kwa ushabiki tu, ndio maana hata bungeni mbunge anaweza kukurupuka usingizini na kupigia makofi hoja asiyoijua...pia inanikumbusha akina mama waliozoea kupiga makofi kwenye hotuba za kikwete anazodai anawahutubia "wazee wa --------" Napenda kujua jinsi ambavyo huwa wanapatikana?
 
Kibajaji means kijigari kdg2 kipo incomplete kinatakiwa kipelekwe garage kukikamilisha, huyo lusinde apelekwe hosptal wakamcheck up
 
Ndesilu,pakam, sawalo, na wote wana mcc wametutukana watanzania kule arumeru mbele ya baba zetu watoto zetu wake zetu waume zetu wajukuu zetu kwa pesa zetu za kodi na rasilimali zetu wenyewe wamesahau kuwa tuliwapa dhamana ya kuongoza 2015 mwisho wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom