KING' AMUZI cha STARTIME MFT930 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KING' AMUZI cha STARTIME MFT930

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Oct 11, 2012.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wadau wa tek Salaaaam
  Nimepata challenge moja sasa kabla sijatafuta mtaalam naomba kama kuna mwenye ujuzi anipe maelekezo nijaribu kuyafuata nione kama naweza kurekebisha hili tatizo.

  Tatizo Gani?

  King'amuzi cha startime mft 930 kilikuwa kinapokea vizuri matangazo na kuonyesha channle kibao za FTA ( Free to air) Kama ITV, Statv.

  Ghafla jana tu najaribu kucheki nakutana na ujumbe No channel available.

  Mtazamo wangu
  kuna mtoto mtundu mtundu aalichezea remote na kubalisha au ufuta baadhi a setting. Hii ndo inanifanya niombe kma kuna mwenye maujuzi na anayefahamu configurations za vingamuzi vya startimse adondoshe kwenye uzi huu nione kama DIY ( Do It Yourself) itatatua tatizo

  Vile vile kama kuna mwingine ana soft copy ya manual ya king'amuzi hiki au anajua kiunganishi wapi naweza kuidaka manual au tech documentation ya startimes mft 930 basi anidodoshee hapa.


  Natanguliza shukrani
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mi mbona spati hizo itv, star tv?
   
 3. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haa we hizo free on air tv unazipataje??
   
 4. Man Ngosha

  Man Ngosha Senior Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Duh!mi najua hizo free on air waliziondoa hewan,mkuu ww unazipataje?
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mhhh kweli nimechemsha. sio startime ni Mediacom. Wakuuu juu hapo na wengine wataosoa huzi huu mniwie radhi. Neno startime liwe replaced na Mediacom.
   
 6. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Hacha fiksi kamanda hizo chanel hukuwanazo kwenye startime!!
  sasa kujiuma uma kote kwanini? si ungetumia lugha nyepesi kuwa waomba maujanja ya kupata local channel kwenye mchina wako
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Noted Mr Kicheko.

  Lakini sasa ambacho hukuelewa kwenye comment Number 5 ni nini??!!!!! :shock: Kama na wewe kiswahili uelewi vizuri nitajitahidi japo kwa kuchapia chapia ni tafsiri commnet number tano kwa lugha unayotaka mkuu.
   
 8. R

  RobyMi JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 80
  Kujulikana JF sio kukomoa au kuponda Comment za watu wengine .... Na kama huna cha Kuongea JF .. bora Unyamaze au Usi Log in ili usicoment ... Sio unaleta Uzoba wako hapa ... Jiheshim
   
 9. gkiwango

  gkiwango Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Pole sana ungesema unatumia dish na receiver ya Media com ungeshapata msaada. Fuata haya maelezo ili kuweza kurudisha channel zako.
  1.Bonyeza menu then nenda installation settings kama itahitaji password jaribu 0000
  2.Then chagua manual search hapa naassume una LNB moja tu. Angalia pembeni utaona option inasema add transponder na rangi yake pembeni. Kama sikosei ni kijani. Bonyeza kitufe cha rangi hiyo kwenye remote zile button za chini kabisa.
  3. Cna uhakika sana lakini angalia onscreen instruction na kubonyeza rangi ya button ktk remote yako. Hadi utafika sehemu ya kujaza settings.
  4.Freq nitakupa chini hapo. Kwenye frequency jaza namba za kwanza, kwenye symbol rate jaza namba za mwisho, halafu kwenye polarization kama n V jaza Vertical na H-horizontal.
  5.Kama ukiweka polarization niliyotoa ikakataa waweza badili. Na ukibadili ikakubali jua zote lazima ubadili.
  6. Kabla hujamaliza kuingiza kutakuwa na rangi moja nyekundu ikionyesha level na percent yake, kama channel imekubali itajitokeza rangi ya quality ikionyesha na percent yake. Ukiona hivyo unaweza bonyeza OK na itasearch channel na ikimaliza save. Rudia kwa channel nyingine hadi umalize.
   
 10. B

  Berenice Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina dish la eurostar na receiver ya gulfstar nitawezaje kupata local channel?
   
 11. kuruta

  kuruta JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 260
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Ebwana tunakuomba maelezo ya kutosha kuhusu jinsi yakuingiza chanel zilizofutika kwenye dish,receiver media com.
   
Loading...