Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

I hope this information will motivate you and provide you with courage when you experience ups anddowns in your career, business or entrepreneurship initiatives in particular. Not everyone who's...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kuona usaidizi na ushauri wanaopata wenzangu ,nikaonelea ni vyema nami nipate ushauri kwa manufaa yangu. Nafikiria kufungua biashara ya books n stationery mjini songea, mwanipa ushauri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wajasiriamali wenzangu ningependa kufahamu mtu mwenye mtaji wa tsh 400000 (laki nne) anaweza kufanya biashara gani yenye kulipa na endelevu? Namdogo wangu anamaliza chuo kikuu na anapenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakubwa nawasalimu Baada ya salamu naomba kuwauliza natamani kuanzisha biashara ya kuosha magari na pikipiki hapa jijini Dar es Salaam. kwa wazoefu wa biashara je aina hii ya biashara inaweza...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habar wana Jf, mi niko dar,Nahitaj kukopa mil.5 niweze iirudisha kwa riba ya miaka miwil au mitatu,je ni taasis gan au bank gan naweza wa consult,dhamana ni hat ya nyumba yangu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo vipi wanajamii! Hivi ni wapi mtu unaweza kupata mafunzo ya ujasiriamali hasa juu ya utengenezaji na ufungaji wa bidhaa ndogondogo?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
jamani walio kanda ya ziwa na mbeya bei ya mpunga ni ngapi kwa sasa? nahitaji kama gunia 100 hivi
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu wana JF Shamba lenye ukubwa wa ekari 6 linauzwa. Shamba hili lipo maeneo ya Msalato umbali wa km 10 kutoka katikati ya mji wa Dodoma. Shamba hili lipo karibu na uwanja mpya wa kimataifa wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
rejea kichwa cha habari hapo juu ningependa kujua jinsi navyoweza kuwa mjasiriamali kwa kutumia internet
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa, Mimi ni practioner wa Microfinance kwa zaidi ya muongo mmoja, naendesha kampuni inaitwa Chakarika Credit Facility ambayo ni limited by guarantee. Kazi imekuwa ikienda vizuri sana kwa...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Sina kazi ya kuajiriwa kwa sasa, nimeamua kuacha kwa sababu ya kutovulia kufanya kazi na ndugu zetu wa Asia. Nina Million 5 katika account yangu. Nime plan kufungua Grocery pamoja na kibanda...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanajamii. Napenda kufahamu kama Biashara ya kutengeneza na kufunga curtains majumbani na maofisini kama inalipa nzuri haga bongo, na kama kuna makampuni yapo yanafanya biashara hii kwa faida.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nafikiria kutumia kaakiba kangu kununua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda. Naomba ushauri kama ni biashara nzuri kufanya au nipige chini. Km unaona hailipi nipe ushauri wa biashara...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Salaam wakuu. Natafuta mtu wa kufanya nae potential biz ya Catering. Kama una kampuni ambayo iko DSM, Coast Region au Morogoro naomba tuwasiliane kabla ya 31st.May.2012 PM au rakeyescarl@yahoo.ie
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama wewe unamilki internet Cafe na fasi ni hii ya kujipatia Pesa kwa njia ya sms. kwa maelezo zaidi piga namba hii: 0769436393 usibipu tafadhali
2 Reactions
6 Replies
2K Views
soko la paprika liko wapi jamani?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KWA kawaida jamii ya wamasai ni wafugaji. Kutokana na asili yao hiyo ya ufugaji, sehemu kubwa ya maisha yao imetawaliwa na tabia ya kuhamahama toka eneo moja kwenda jingine ili kutafuta malisho...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Yanatumika pia kupikia msosi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu? Jamani natafuta watu wanaodeal na mambo ya procurement. Some sort of consultants au kampuni. Kama kuna mtu yeyote huko, please private message me. Natanguliza shukran zangu.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
habari za kazi wanajamvi. kuna mdau anatafuta mfadhili ili amuwezeshe kufanya record ya kipindi cha television kinachohusu masuala mbalimbali ya kijamii,mienendo yetu na namna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom