Bei Ya Alizeti Singida

lila

Member
Aug 7, 2012
38
5
Hbr pple,

Naulizia msimu wa kuvuna alizeti Singida ni kipindi gani na bei hua kiasi gani na kwa kipimo kipi tafadhali....Kwa mwana Jf anaeishi Singida plz anitafute kwa msaada zaid.
 
msimu unaanza mwezi may na kuemdelea bei ni tsh 11000 kwa lita tano bei ya jumla,je umepata soko la bei gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom