products zinazotokana na Kuku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

products zinazotokana na Kuku

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Ibang, Aug 30, 2012.

 1. Ibang

  Ibang Senior Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakuu habari yenu
  Aisee katika pita pita yangu humu niliona kuna post nyingi kuhusu ufugaji wa kuku zikieleza jinsi ya kufuga kuku na maelekezo yake kwa kina
  Ila leo nilikuwa nina swali kuwa ukiachana na mayai, nyama je ni products gani zinazotokana na kuku ? Kuna mtu niliona kasema kuwa kiini cha yai la kuku kinatumika kutengeneza shampoo so mwenye ujuzi wa mambo ya kuku tafadhali atujuze kama kuna products zingine za kuku zinaweza tumika kama malighafi na ni product ipi na inatumika kutengeneza nini ?? Natanguliza shukrani
   
Loading...