Kufungua kampuni - msaada wa kuandika documents | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufungua kampuni - msaada wa kuandika documents

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by MJIMPYA, Jul 22, 2012.

 1. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Natafuta mwenye utaalamu wa kuandika documents za kufungua kampuni. Nina wazo la kufanya biashara ndogo tu kwa kuanzia ila baadae naamini itachanganya na kuwa kubwa so nahitaji niwe na kampuni.

  Nataka pia ushauri wa mambo mbalimbali so nikipata mzoefu na aliye tayari kujibu maswali yangu nitafurahi.
  Tafadhali aliye serious ani-PM pia weka cost zako na contacts.

  Asanteni sana
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Mkuu sema kwanza aina ya kampuni unayotaka kufungua, itakua na shughuli gani ili mtu akushauri...
   
 3. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Itausiana na mambo ya vyakula na kilimo.
   
 4. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Ok sasa ntakujulisha kwa pm
   
 5. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  nitakusaidia kusajili kampuni yako, ikiwa ni sole propietor, partnership au limited liability company.within seven day unapata documents zote. nampatikana.
  Tel: +255 767 102102
  : +255 655 308308
  email: dgjamesonltd@gmail.com
   
Loading...