Mwenye link na importers wakubwa wa makaratasi anisaidie. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye link na importers wakubwa wa makaratasi anisaidie.

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by pstar01884, Aug 25, 2012.

  1. p

    pstar01884 Senior Member

    #1
    Aug 25, 2012
    Joined: Sep 26, 2010
    Messages: 117
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 33
    Mimi ni mjasiriamali, naendesha biashara zangu ktk eneo la Kariakoo Dar es salaam. Katika biashara yangu nimejikita zaidi kwenye kuuza/supply bidhaa za Stationery na Printing. Nimejikita kwnye biashara hii tangia mwaka 2009 hivyo nimeweza kudunduliza mtaji wangu kwa kiwango cha kutosha na hivyo nimeamua kuingia rasmi kwenye Wholesale. Changamoto kubwa niliyo nayo kwa sasa ni kukosekana kwa link/mawasiliano na suppliers wakubwa wa bidhaa hizi, hivyo nimejikuta bado nanunua bidhaa zangu kwa watu wa kati (middlemen) ambapo bei zao bado ni ghali, haziniruhusu kuuza kwa watu wa kati (middlemen) najikuta narudi kwny rejareja ili kuweza kupata faida kiduchu.
    Naamini Jf imejazana watu wenye biashara mbalimbali, wenye access na wafanyabiashara wakubwa ktk eneo hili ambao wanaweza kuwa suppliers wangu. Naomba yeyote mwenye link na importers wa makaratasi particularly karatasi za photocopy papers(A4,A3), artpapers(A1), manila, bond papers, NCR Papers (A1) anisaidie.
    Pia bidhaa nyinginezo za wino wa printer za maofisi, printing ink za TOK machines, nk,
    mawasiliano yangu ni haya hapa;
    +255 713 584 890
    Email: pstaronline@gmail.com au bst.printers@yahoo.com
     
  2. bluetooth

    bluetooth JF-Expert Member

    #2
    Aug 25, 2012
    Joined: Jan 12, 2011
    Messages: 3,933
    Likes Received: 670
    Trophy Points: 280
    Mtafute John kessy mwenyewe kampuni ya DarWorth .... ofisi zipo maeneo ya opposite na KAMATA /shoprite
     
  3. p

    pstar01884 Senior Member

    #3
    Aug 26, 2012
    Joined: Sep 26, 2010
    Messages: 117
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 33
    Ahsante mkuu kwa ushirikiano. Nitaenda kuwacheki kwa ajili ya kufahamu bidhaa zao zaidi. Ila kama una mawasiliano nao ungenisaidia pia.
    Narudia tena, Ahsante mkuu. Mambo yakiwa mazuri nitakupa mrejesho.
     
  4. S

    SIXPLANET Member

    #4
    Aug 26, 2012
    Joined: Mar 15, 2011
    Messages: 76
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 15
  5. cerengeti

    cerengeti JF-Expert Member

    #5
    Aug 30, 2012
    Joined: Jan 19, 2011
    Messages: 3,633
    Likes Received: 1,165
    Trophy Points: 280
    nina photocopy paper A4 nyingi naomba tuwasiliane. 0655 308308
     
Loading...