heshima mbele wakuu.ninaomba kujua ni njia gan yakuaminika ninayoweza kuagiza eletronics(simu,laptop n.k)kutoka nje ya nchi(u.s,india na japani)..msaada tafadhali..
Re: Ms aada waKuagiza Electronics Kutoa Nje ya Nchi.
Huu uzi wakao ni wa siku nyingi sijui unaendelea je? Hata hivyo kwenye dunia ya leo unaweza kupata taarifa hizo kwenye mitandao, ingawaje humopia matapeli wamo. Kuhusu laptops, hebu ingia kwenye website ya usnotebooks.com. Hawa wanazo refurbished / reconditioned laptops. Ukiingia tu wanayo maelekezo mazuri namna mnavyoweza kufanya nao hiyo biashara.
Changamka mwana jf!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.