Tunatafuta land hectare 60,000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunatafuta land hectare 60,000

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by BLUE BALAA, Jul 24, 2012.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  My company has teamed up with a Chinese Company (Green Energy Company)
  The long term plan it to produce bio fuel but currently we are looking at cultivating maize, sugarcane, rice, sorghum and cassava.bThe Goverment had already allocated us with a big land in the southern part of Tanzania but it has already taken us almost two years chasing for ground works like Title Deed ect.

  We have decided to abandon the previous plan and now looking for a private land that we can buy.
  Incase you have or you have useful information please PM me so that we can arrange for a meeting

  Regards
   
 2. mito

  mito JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,613
  Likes Received: 1,992
  Trophy Points: 280
  Mmmh mkuu hivi uko Tanzania kweli? huwezi kupata kiasi hicho cha ardhi kwa mtu binafsi Tanzania, hata kijiji tu hakina mamlaka ya kutoa ardhi kiasi hicho. Nadhani unatafuta kutapeliwa tu. we nenda kichwa kichwa hivyo kama ujauziwa mbuga ya mikumi
   
 3. A

  Akiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  mimi ni Real Estate Agent ninayo hayo maeneo kuna heka 100,000 na 25,000 kama utapenda tuwasiliane 0657145555 thomasnelson564@yahoo.com
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa kiwango hicho ni lazima Uende TIC ndo wanao fanya hizo process na ndo wenye Land Bank, hata kama mtu binafisi anazo kisheria ni mpaka upitie TIC,

  NA KAMA MKO SIRIASI MNASHINDWA NINI KUPITIA TIC? au ndo usanii kwamba mnataka kulima Mahindi mwisho wa siku mnalima hayo ma Biofuel
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  If 1 Hectare = 2.47 acres, then 60,000 hectares = 148,200 acres. Uwezekano wa kupata eneo la ukubwa huo kwa pamoja kupitia kwa individuals ni mdogo sana.
   
 6. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  KOMANDO, uko sahihi mkuu, aende TIC na siyo kupitia kwa madalali mtaani.
   
 7. m

  mjanjamimi Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Rush to Dodoma right now with all your papers and see THE minister responsible with land. Have copies of documents and a covering letter addressed to Mama TIBAIJUKA STATING STRAIGHT THAT ``WE HERE TO SEE YOU BECAUSE WE HAVE BEEN STRANDED AND WE EXPECT YOU TA ACT ON THIS.attach all the copies concerning the matter. Dont give up am telling you this will be very easy solution .
   
 8. M

  Malila JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mkuu sikubaliani na njia ya kumwona Waziri moja kwa moja kwa sababu inaua mfumo wa uongozi. Huyu ana nauli ya kumpeleka Dom, je mama yangu aliyeko Kyaka Bukoba akikwamishwa kupata kibali cha kununua eka sitini tu na kijiji chake naye aje Dar kumwona waziri?

  Mwambie aende kwa kamishina wa ardhi baada ya kupitia mipango ardhi ya mkoa na wilaya husika. Labda mdau atwambie ni matatizo gani aliyokumbana nayo hadi ameamua kuacha.
   
 9. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Jamaa aende TIC make wale ndo wala LAND BANK YA WILAYA ZOTE, Na kuna siku nilisikia Bungeni kwamba kuanzia sasa hakuna Mwekezaji atakaye Ingia Ubia na mwanachi/Kijiji Bila idhini ya Balaza la Madiwani na Mbunge aikiwemo kuwasaidia, ila kuna kiwango cha Ekari ambacho ni lazima Upite TIC,

  Ukitaka ekari moja hadi 10 haina haja ya kupita huko ila kwa hicho Kiwango ni lazima upitie kote kwa sababu hichi kiwango ni kikubwa sana na kinaweza Leta Migogoro ya Aridh baadae
   
 10. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Asaanteni kwa maoni yenu, kwa set up ya hii nchi hatuta kaa tuendelee. Issue yetu imeshafika mpaka PM office lakini ni zengwe tu ndio maana tukaona labda tutafute land tununue tu. Kumbe tena land kubwa lazima twende tena TIC. TIC wameshatuzungusha sana sana sana. Oh my GOD BARIKI TANZANIA BARIKI MASIKINI NCHI HII
   
 11. chash

  chash JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Sorry to say this but i do not thlnk any country will accept to give a foreign firm such acreage for planting maize. Hizo ni biashara za wazawa. Maybe bio fuel and this only a factory for processing, the actual growing should also be sub contracted to to wazawa.
   
 12. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Thanks bro but you need to write between the lines
   
 13. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  mbona easy tu hata ukitaka kununua nchi nzima , hela yako tu..na wavamizi watatolewa na mabaunsa
   
 14. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,332
  Likes Received: 516
  Trophy Points: 280
  ile niliyokueleza pale morogoro 98,000 hactares haikufai na tumeshaipima na offer inayo? Ay sio wewe Wambura?
   
 15. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 4,586
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba nisaidiwe katika hili, kwa mfano kuna watu wanaopewa maeneo ya kijijni na serikali ya kijiji ili wayaendeleze kwa kilimo kwa gharama nafuu tu. Na pia unawezapewa umiliki kama mwanakijiji kwa masharti ya kuchangia maendeleo ya kijijini kutokana na mapato utakayo yapata ila ni hiari kama vile kusupport shule, kujenga mdaraja hata kama ni la kawaida au shughuli yoyote ya maendeleo. Sababu ni kwamba hilo eneo (mbuga) liendelezwe badala ya kukaa bila tija.

  Tusaidiane wakuu katika mazingira haya naweza kukatiwa heka hadi miatatu kulingana na uwezo wangu as individual. Je?? Katika mazingira haya nahitaji kuwaona tic ili wanipe go ahead? Je serikali ya kijiji tu haitoshi? Hebu tusaidaneni hapa.
   
 16. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Viongozi wanauza nchi,wananchi nao wamekuwa madalali wa kuuza nchi shida tupu,mkuu kuwa makini na hao Wachina wanaweza wakawa wanataka kujianzishia ka nchi kao hicho kiasi cha ardhi ni kikubwa sana
   
 17. n

  ngudzu Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali ya kijiji inaweza kugawa ardhi hadi ekari 50 tu kwa wanakijiji na wanaotaka kuahmia kuwa wanakijiji. inayozidi hapo hadi angalau ekari 100 sharti halmashauri ya wilaya ishusike. Ardhi yoyote inayozidi ekari 250 humhusisha hadi kamishna wa ardhi endapo tu mwombaji anataka kupewa hati miliki. LAKINI kwa wanakijiji wanaomiliki ardhi hata zaidi ya kiwango hicho utaratibu huu hau apply maana huwezi kuwanyana'anya ardhi wanayomiliki kihalali ili wabakiwe na 50 au 100. Wewe ukitaka kumiliki kimila kijijini labda uipate kwa mwenyeji akuuzie ndani ya kijiji kwa ushahidi wa viongozi wa kijiji na usahau ndoto ya kupata hati kwa kamishna. Ukitaka hati, sharti ardhi hiyo ihawilishwe na ihusishe wanakijiji wote waridhie katika mkutano mkuu maana ukishapata hati ardhi inakuwa si ya kijiji tena bali ya jumla na hivyo utawala wake unakuwa wa Kamishna si kijiji tena. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya vijiji namba 5 ya 1999 na kanuni zake za 2001
   
 18. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kwanini hujafanya utafiti wa kutosha kabla hujalianzisha? Nilichoona hapa ni kwamba you have very limited knowledge about land tenure system in Tanzania. Iwapo the most significant resource katika biashara yako ni land, jifunze hilo kwanza kwa undani. Na usijifunze mfumo ulivyo leo tu, jifunze possible changes in the future, kwa sababu investment yako ni ya muda mrefu, unaweza kuingia gharama baada ya miaka kumi unaambiwa kuna restrictions kedekede...
   
 19. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 4,586
  Trophy Points: 280
  mkuu ahsante kwa ushauri. hadi sasa nipo kwenye mchakato wa kukusanya knowledge na maarifa ya kutosha kuhusu ili suala. ushauri wako ni super na nilishaanza kuufanyia kazi.
   
 20. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 4,586
  Trophy Points: 280
  kiongozi nashukuru. nimekuwa katika mchakato wakutafuta hii sheria ya ardhi ili nijiridhishe kabla ya kufanya maamuzi lakini kila ukienda kwenye duka la vitabu vya serikali wananiambia bado kwa sasa hawana nakara. mkuu kama unaweza kuwa na source yetote nikapata nukuu hizi nitafurahi. ilaulichonieleza nimeelewa na kimenipa mwanga.
   
Loading...