T shirts, Caps, Mugs and wheel covers printing business

arnolds

Senior Member
Oct 10, 2009
105
57
Amani kwenu wadau!..natumai wote ni wazima na mnaendelea vyema na majukumu!
nahitaji msaada kwa yoyote anayefahamu zaidi juu ya T shirts, Caps, Mugs and wheel covers printing business anipe
shule na experience kdogo namna ya kufanikiwa ktk hii biashara.
kama unafahamu equipment / vifaa muhimu vinavyohitajika ni vizuri zaidi ukinifahamisha, au kama unasupply hvyo vifaa
pls just PM me tuongee biashara..

ahsanteni.
 
Nami ntafurahi nikipata hiyo experience nipo rock city nafikiria kuifanya
 
Arnolds, maswali yako ni general sana, lakini nitajihidi kukujibu hivi na kwa ufupi sana; hivyo vitu vyote ulivyotaja hapo juu vinaweza kuwa printed kwa kutumia machine tofauti tofauti:
1: using normal printer:- Please note there are just normal printer which can print even t-shirts, most of these machines are mult-purposes i.e all in one, print, scan, copy, fold and bind. Depends on the brand and where you buying them from, these machines can be sometimes affordable especially if you fancy second hand ones.
2:You can also use what they screen printing:- please use the internet for more information about screen printing
3:Heat press transfer: Now this is what you need for mugs, plates caps etc it can also do t shirts the same as the above two, once again do follow the internet for more details.
Moreover, you can still use any large format printer to do wheel covers, depending on ur design layout you may sometimes need only an A-3 printer though I do doubt especially when business picks up. Marketing- wise? I am sorry this is not my area of expertise. Should you need to know more or need to join me in this business as iam looking for sereous allies please do feel free to contact me here, or you can either drop your contacts here and i shall respond. Our business is small but well established especially in terms of facilities, we do have very contemporary machines to perform a lot of jobs of different requirements. Good lucky...
 
Amani kwenu wadau!..natumai wote ni wazima na mnaendelea vyema na majukumu!
nahitaji msaada kwa yoyote anayefahamu zaidi juu ya T shirts, Caps, Mugs and wheel covers printing business anipe
shule na experience kdogo namna ya kufanikiwa ktk hii biashara.
kama unafahamu equipment / vifaa muhimu vinavyohitajika ni vizuri zaidi ukinifahamisha, au kama unasupply hvyo vifaa
pls just PM me tuongee biashara..

ahsanteni.

Ukishapata Knowledge ni-PM, kama tunweza unganisha nguvu. mimi nitatoa eneo liko town
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom