Vitabu vya Ujasiriamali... Vitabu vya Ujasiriamali..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitabu vya Ujasiriamali... Vitabu vya Ujasiriamali..!

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by C.K, Aug 22, 2012.

 1. C.K

  C.K JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kwa wanaohitaji vitabu vya elimu ya Ujasiriamali na Mafanikio kwa ujumla – kwa ajili ya kufundishia au biashara (jumla tu) kuna kitabu chenye kichwa “MAFANIKIO YA KIFEDHA”. Kitabu hiki tayari kiko sokoni tangu mwaka jana (2011) na waliokisoma wanasema ndiyo kitabu bora kati ya vitabu vya Ujasiriamali na Mafanikio nchini vilivyo katika lugha ya Kiswahili. (Angalia cover lake kwenye hiyo attachment).

  Sambamba na kitabu tajwa hapo juu, pia kuna kingine kipya ambacho ni bora zaidi ya hicho cha awali chini ya mwandishi yuleyule, (Robert C.K). Hiki cha pili kimekamilika bado tu kuchapwa na kusambazwa. Hivyo kama wewe ni dealer wa vitabu (publisher - msambazaji au mchapaji) na ungependa kufanya kazi na mwandishi huyu basi waweza kuwasiliana kupitia namba za simu hapo chini.

  Simu: +255 758397557, +255 718 174415
  Email: chazyarobert@gmail.com
   

  Attached Files:

 2. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  naomba tuwasiliane, nataka tuform a joint venture in this business. napatikana 0655 308308
   
Loading...