Wadau naomba kujua utaratibu wa kuuza ndizi za kuiva katika soko la ndizi la Mabibo D.s.m na huko Dodoma,ndizi ninazozungumzia ni za kuiva kutoka mkoani Morogoro hasa Matombo na Mgeta!nilikua...
Salaam wakuu,
The issue is, am planning to staRT my own business with a capital ranging from 5-10mill. Sina experience sana ya biashara so naomba kujuzwa biashara gani kwa hapa dar es salaam ni...
Habarini wana bodi!
Tafadhalini rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi karibuni nimekutana na tathmini ya biashara moja ya kukoboa na kusaga mahindi iliyopo mkoa wa jirani na Dar inaonyesha kuwa...
habari ndugu zangu jf,naomba mchango wenu wa mawazo mie nina laki saba tu ingawa ni pesa ndogo sana,ila nataka nizungushe inizalishie kidogo kidogo na nilifikili nijumue nguo kidogo hasa hizi jezi...
jamani wana jamii sina hofu kwa msaada ntakaoupata kupitia forum hii wa kimawazo ili niondokane na changamoto inayonikabili kwa sasa. kwa kifupi iko hivi mm ni mwejeji wa mkoaX, nina ndugu wawili...
wakuu habari,siku zote naamini jf n sehemu yangu pekee ambapo naweza pata ushauri kwa asilimia 95%,naomba km hujui kuchangia kwa staha,nidhamu basi pita tu hapa,kuna biashara nimebuni ambayo...
Wakuu wa JF,
Naombeni mnisaidie mawazo wakuu, nina milioni 9 ninataka kufanya finishing ya "kiwango wa chini" ya kanyumba changu maeneo ya kibada ili nihamie. Nimeshaweka bati, gypsum na...
Naomba ushauri labda sielewi vizuri somo. mimi nlidhani ili nipate mkopo niwe na businessplan,collateral, legal business, kuwa unalipa kodi, una business license etc. sasa kuna bank zingine...
Helo great thinkers.. plz saidia mimi kulikuwa na thread moja ndefu sana ya kuhusu ufugaji wa kuku za kisasa,... nimeitafuta sana sioni... SOmebody help plz
Habari wakuu!
Ninataka kusafirisha refurbished printer toka Marekani. Kwa wazoefu wanajua ilivyo shida ya kusafirisha vifurushi toka nchi za Ulaya na Marekani.
Ninaomba kama unamfahamu mtu yeyote...
Greetings JF members and visitors,
Attached are more details about the project. It is an open invitation to anyone who meets the mentioned criterias to apply.
Regards,
Kate M.
Nahitaji business partner wa kufanya nae Biashara katika Fremu yangu iliyoko maeneo ya waterfront kuelekea stesheni.
Kwa sasa nina eneo (Fremu), ila nimepungukiwa kidogo kiasi cha mtaji kwani...
Hello team,I hope this message will find you with good health,JDM Success.com is looking for business partners who will be interested in Health&Beauty Products,IT Accessories,Apple...
Wapendwa habari za jioni. NATAMANI sana kuanzisha biashara ya kutengeneza viatu kwa kutumia ngozi ya hapa nchini mwetu, kama mjuavyohi nchi yetu ina mifugo mingi sana.NAOMBENI kwa wale wenye...
wakuu poleni na kazi za ujenzi wa taifa, mie ni mfanyabiashara wa kati,ninabiashara ya duka la nguo za watoto wa siku 1 na kuendelea za kike naza kiume.sijawahi kopa benk wala sacoci yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.