Jamani kuna nini tigo nimeomba line ya tigo pesa zaidi ya mwezi sijapata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kuna nini tigo nimeomba line ya tigo pesa zaidi ya mwezi sijapata

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Mbwambo, Aug 22, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mimi ni mama ambaye niliamua kuingia kwenye uwakala wa mpesa na tigo pesa.
  Nilianza kulipia mpesa jamani ni siku chache tu nimepata line yao, hongera mpesa.
  Kuja kwenye tigo pesa nimelipia zaidi ya mwezi sasa ninaambiwa uje siku fulani nikimtuma mdogo wangu anaabiwa bado uje siku fulani amekwenda zaidi ya mara 3 anazungushwa
  nililipia pale kariakoo relini pale kw wakala wa tigo
  nifanyeje jamani
  tigo nisaidieni nifanyeje?
   
 2. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  The same to me,mi pia nililipia tar 26 july palepale relini hadi leo nazungushwa
   
 3. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Du hata mimi now nina wik pale pale kkoo relini jana wameniambia niwackek j4
   
Loading...