Biashara ya kubadilisha fedha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya kubadilisha fedha

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by cyruss, Aug 13, 2012.

 1. c

  cyruss Senior Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wakuu, naomba mwenye ufaham fasaha juu ya ubadilishaji wa fedha za kigeni na yetu, nasikiaga watu wanafanya bishara yakubadilisha fedha kila kukicha mjini, je ni nani ambaye anajua sehem ambao unaweza pata lets say kununua dollar cheap kabisa na kwenda kuiuza kwa bei ya juu kwenye hizi bureau, nawakilisha wakuu.
   
 2. mito

  mito JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,624
  Likes Received: 2,012
  Trophy Points: 280
  Duh, mkuu umenichekesha hapo kwa red aisee
   
 3. c

  cyruss Senior Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni ivi mkuu nasikia kuna watu wanpata dollar cheap kabisa pale ''Baba wa mabank'' lets say wananunua dollar kwa 1530 wakati mtaani bureau wananunua 1550 wanauza 1600, sasa angalia kuna shs 20 hapo.
   
 4. mito

  mito JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,624
  Likes Received: 2,012
  Trophy Points: 280
  Basi ngoja tusubiri wadau watufahamishe zaidi
   
 5. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  i believe kuna formula that u can change different currencies,na ukapata profit..kuna mtu alikuwa anafanya hiyo business,too bad he passed away,with his secrets,ukiumiza kichwa u can make something out of that......
   
 6. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu Cyruss, nafikiri pale BOT (baba wa mabenki) hua kuna mnada wa kununua dollar. Labda ujaribu kwanza kumpata mdau mwenye duka la kubadili fedha akupe utaratibu wakujisajili.
   
 7. c

  cyruss Senior Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pia mimi naimini hivyo, cause kuna watu town ndo michezo yao daily wanazunguka na pesa na wanamake profit
   
 8. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
Loading...