Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Natafuta viwanda vinavyonunua dagaa la kuku jijini dar.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Sababu mbalimbali za kujiajiri mwenyewe Katika point nyingine kwenye haya maisha, kila mtuanapenda sana kujiajiri, ni wachache sana ambao ukiwauliza watakuambiahawapendi kujiajiri, Hata wahanga...
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Pata elimu ya ujasiriamali kwa kujifunza biashara mbalimbali kitu cha kuzingatia unapoanza biashara yako, msaada wa unachokifanya na mbinu mbali mbali za kuifanya biasha yako ikue. kwa wale...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Ni wakati wa kujitegemea, kujiajiri na kupata kipato binafsi kwa kufanya ujasiriamali/biashara, sanaa, michezo au jambo lolote lile kwa lengo la kupata pesa. Siyo tena wakati wa kutegemea...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mtaala wa elimu ya tanzania unatuandaa vijana wengi tunaomaliza elimu ya juu namaanisha vyuo vikuu kuwa mategemezi na si kujitegemea na kukomboka na elimu tuliyopata. Wengi tunafikiria sana...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hello..! Kwa anayehitaji PlayStation 2 - Games Decks kwa ajili ya biashara ya kuchezesha games au kwa matumizi ya nyumbani zinapatikana kwa bei nafuu. Zimetumika kidogo so bei yake ni cheap...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wa jf, Natarajia kufungua duka mahususi kwa ajili ya mahitaji madogomado ya nyumbani kwahiyo naombeni msaada wa ufafanuzi kuhusiana na bidhaa zipi nianze nazo,na wapi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za wikendi wapendwa? Bila kupindisha mada kama ilivyo katika kichwa hapo juu ni kwamba mie ni mkazi wa Arusha mjini mwenye nia ya kufanya biashara angalau yenye mtaji wa shilingi milioni...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Katika siku nilizowahi kusononeshwa ni jana, nilibahatika kusikia mjadala fulani redioni nikasikia uchumi wa Tanzania hautokani na kilimo wala viwanda bali tanzania limekuwa taifa la kichuuzi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba mnisaidie je naweza pata gari ilitumika isiwe imechoka kwa kiasi cha mil.tano please kama kuna mtu anayo au anahabari ani pm ili tuweze wasiliana nipo dodoma ahsanteni.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Shikamoo wakubwa, wenzangu na mm habari za saa hz bila kusahau wadogo hamjambo...mimi ni msichana ninae fanya kazi katika kampuni moja hv nina shida na natumai mtanisaidia ninaomba mniambie ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naulizia mtaji wa kuanzisha bureau de change. Na tararibu za kufuata zikoje?
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Wanajamvi poleni na majukumu ya kila siku. Mimi naishi mji kasoro bahari na plani yangu ni kuanzisha business ya kitimoto, mtaji siyo shida. ombi langu kwenu ni kama kuna mdau mwenye plot iliyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba kuelimishwa juu ya ni aina gani ya biashara ndogo ndogo naweza fanya kati ya Tanzania na Kenya!kifupi nilikua naomba msaada juu ya bidhaha gani nazoweza pata Kenya ki urahisi na...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Natafuta mizani (ya mawe)kama kuna yeyote mwenye mizani ya kupimia kwa kutumia mawe, au anajua inapouzwa (hata used) naomba tuwasiliane chapchap. sms or call 0762959725 or ni pm.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Nataka kuanzisha kituo cha fm cha kijamii, kwa malengo ya kuelimisha jamii za vijjini kule mkoani Rukwa, ukanda wa ziwa Tanganyika katika masuala ya afya na Elimu kwa shule za msingi na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF wale wenye utaalamu na uzoefu wa kuandika Proporsala ya Media Organizer kwenye Mashirika na makampuni Mbalimbali, namaanisha kwamba nataka kuwa Afisa habari wa kujitegemea, hivyo naombeni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamii naomba ushauri kuhusu biashara ya mashine ya kuranda na kuchana mbao, kwa anayeijua vizuri anishauri nataka kuianzisha, na km unajua sehemu ninapoweza kupata mashine za kuchana na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
helow Wadau mm ni mfanyabiashara wa kati, nnaenunua tikiti maji na ku_supply jijini Dar-es-salaam. Kwa yeyote anaefanya kilimo hiki, tuwasiliane tujenge uchumi wetu. Biashara hii inafaida kubwa...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Hi wanaJF. Nina leseni mbili za uchimbaji mdogo (primary mining licence) kwa ajili kuchimba dhahabu Magambazi wilaya ya Handeni, kwenye eneo la hekta 10. Kama kuna mtu ana interest tuwasiliane...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom