Nataka kufuga kuku

jomuka

Member
Oct 17, 2015
22
8
Habari wanaJF wote,Heri ya mwaka mpya.

Mimi ni mjasiliamali natamani kufuga kuku wa kisasa na kienyeji kwa ajili ya biashara.
Naomba ushauri au msaada wa kupata namba ya simu ya group ya wafugaji, website, email na kadhalika, ili niweze kuwasiliana nao kwa ushauri na maelekezo.
 
SAFI SANA...ILA NENDA KWA MA-AGENT WANAOUZA VIFARANGA WATAKUPA ELIMU NZURI TU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom