Kwa anayehitaj huduma ya malazi arusha. Ninatoa huduma ya malazi arusha maeneo ya mbauda kituo cha buchadi. Vyumba vyote ni self contained,kitanda cha kisasa cha chuma,hetal ya maji moto kila chumba na breakfast asubuh. Bei ni shilingi 25000. Ni sehemu tulivu ulinzi upo wa kutosha na parking kubwa ya magari.
Nicheki kwa 0652812718
Nb: hatuna huduma ya bar.
Nicheki kwa 0652812718
Nb: hatuna huduma ya bar.