Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

natafuta MOTHER BOARD YA HP ENVY M6 SILVER. PLZ
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Habarini wana jamvi , Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kusaidiwa kimawazo. Nilienda kwa ndugu yangu kumuomba anikopeshe fedha kwa ajili ya mtaji lakini kinyume na matarajio yangu, ndugu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SIRI YA MAFANIKIO YA KUWA TAJIRI. Hii ni siri ambayo nimekuwa nikiitumia katika maisha yangu binafsi na wengine wengi waliofanikiwa huitumia pia na imewasidia sana kufikia malengo makubwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Msaada wenu waungwana, nikiwa hapa Dar naweza kuuza wapi madini km Almasi, dhahabu n.k naomba msaada wenu tafadhali kwani ni zaidi ya mwezi sasa sijajua nikauzie wapi mzigo wapu
1 Reactions
35 Replies
18K Views
Tunatoa huduma za ushauri juu ya uandishi wa research pamoja na data analysis... kwa mawasiliano zaidi tucheki kwa namba 0653218299
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Msaada wana jamvi. Nahitaji till numbers za tigo na voda lakin ziwe kwa majina yangu. Ninahitajika kuwa na nin na nini pia inachukua muda gan kuzipata. Mwenye mawazo tusaidiane...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wana jamii habari zenu, nafikria kufungua stationery office naomba wenye ufahamu wa gharama zake hasa photo machine, printer, compunter, nk aniambie natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani, na...
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Kwa mwenye kumfahamu Bibi/Bwana Shamba aliyebobea katika kilimo cha maembe naomba anipatie contacts za huyo mtaalamu. Shamba la Miembe lipo Dar es Salaam. Shukrani.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau? Mie ni kijana nnaeanza ujasiliamali na nna fremu ya duka dogo sana ( kigoli) maeneo ya kkoo. Sasa nimenda kufuatilia tin pale Lumumba leo na kabla ya makadirio naambiwa kodi mil 2...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
How are you!? Namaanisha kwamba mtu ni mwajiriwa serikalini au sekta binafsi lakini anapenda kujiongezea kipato kwa shughuli za ufundi baada ya kutoka kazini. Naamini wazoefu mpo humu tafadhali...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Me nipo chuo mwaka wa 1 ila nimeanzisha mradi wa ufugaji Nguruwe na pia natarajia kuanza na kuku, bata, mbuzi, kondoo kwa ajili ya kufanya supply yangu kwenye mahotel na migahawa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Ninahitaji kuanza kufuga nguruwe pembezoni mwa Dar es Salaam hivyo kabla sijaanza nimeamua kuanza kuangalia bei za vyakula vya hiyo mifugo ili nipate picha ya gharama za uendeshaji...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Naomba ushauri kwa mtu yeyoye ambaye anajua biashara au mradi ambao unaweza kuingiza kipato kwa muda mfupi (mwezi mmoja mpaka 6) pasipo uhusika wa moja kwa moja (direct involvement). Gharama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipeni ushauri
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Naomba mniambie ni kipindi gani kizuri cha kulima matikiti katika mkoa wa morogoro kwa maana nataka kuanza kulima lakini sijui muda wake mzuri ni upi.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hi wanaJF naomba anaelewa bei ya vifaa vya kisasa vya saluni ya anipe mtiririko nataka mke wangu asikae nyumbani akatafute na yeye sababu ana uchungu na maisha bora.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Nikiwa kama kijana niliyeamua kujiajiri mwenyewe kwa mtindo wa kipekee wa kuzifuata fursa. Nimekuja jamvini ili nipate kujua RATIBA ZA MINADA HASA MAENEO YA PWANI kwa kuanzia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salamu wakuu Kuna dogo mmoja nataka kumuwezesha apate fweza kidogo ya kujikimu. Nataka kumsaidia afanye biashara ya ku-refill wino wa printers na photocopy machines hapo kwetu Songea mjini. Ni...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wakuu, Katika kuperuzi mitandaoni nikaona kuna mabanda ya kisasa yanayoitwa chicken cages ambayo mayai hujikusanya yenyewe na kuyasafisha ni kazi rahisi. Naomba msaada ni wapi wa...
0 Reactions
23 Replies
13K Views
Back
Top Bottom