Msaada Wakuu,ni wapi nitapata nunua kuku wa kuja kuuza mjini kwa Musoma

kilanio

JF-Expert Member
May 30, 2015
221
69
Habarin Wakuu,Mim ni mkazi wa Msoma mjini,nataka kuanza biashara ya kuku wa kienyeji niwe naleta hapa msoma mjin nakuwauzia wachuuzi,napenda kujua kwa wenyeji wa Msoma,ni vijiji Gan vya karib naweza kua napata kuku kwa bei rahis na kuleta mjin.natanguliza Shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom