Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,655
Habari wadau..naitwa neema ni mwanamke ambaye kwa sasa nataka kijishuhulisha kwa kilimo nimebahatika kununua shamba maeneo ya kibaha ..naombeni ushauri wenu wadau je kwa huu mwezi january naweza lima nn? Yaan ni zao gan kwa mwezi huu linalostahil kulimwa? Na pia tafadhalin lisiwe zao la muda zaid ya miez sita maana bado sina kipato kikubwa cha kuwekeza kwa muda mrefu ...Maji yapo... umbali wa mita 100.. Asanten sana nategemea ushauri wenu wenye kunisaidia