Mkuu hii ni Network Marketing kama ilivyo GNLD, Tianshi na nyingine nyingi... (utafauti unaweza ukawa kidogo kwenye products na pay structure..)
Kuhusu definition ya Network Marketing....
The simplest explanation of
network marketing is that it is a method of marketing that utilizes independent representatives to reach potential customers that a company otherwise would not reach with traditional online or offline marketing methods. Source:
What Is Network Marketing?
Kwahio utaona kwamba mafanikio yako sio wewe kuudha bidhaa nyingi bali ni kupata (recruit) watu wengi ili wauze hizo bidhaa na wewe kupata commission kutoka kwenye mauzo yao...
Urahisi sio rahisi kama wengi wanavyosema.., wapo wanaopata (ila tatizo kubwa bidhaa hizi ni bei kubwa kulinganisha na wananchi wetu wengi) pia utakuta watu wanajiunga ili kupata pesa na sio kutumia products (kumbuka no product sales means no money and no commission) kwahio ku-recruit watu sio mwisho wa kazi sababu unaweza ukajikuta watu hawafanyi kazi wala hawatumii products
Ushauri kama unajiunga jiunge kutumia products (kutengeneza pesa iwe bonus) sababu tatizo la haya mambo kampuni ikishakuwa saturated watu wengi kujiunga unajikuta hata recruitment inakuwa ngumu..., alafu wajanja mtoni wakishapata downlines wengi na wao wanaanza kutengeneza products zao (mfano education products, CDs, kuitisha seminars za malipo) hivyo wanajikuta kuna income stream kubwa zaidi..
Kwahio in Short..:-
Je ni Utapeli :- Hapana
Je kuna watu wanafanikiwa :- Ndio wapo ila wapo wengi pia ambao hawafanikiwi
Je ni kazi rahisi :- Hapana sio rahisi wala sio ya kila mtu
Je unaweza kufanya / hasara zake :-
Unaweza kujikuta unageuza any social event na marafiki zako kuaanza kuwatangazia biashara (usishangae wakianza kukukimbia au kukupa ahadi za uongo)