Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Za miangaiko ndugu zang Mm ni kijana Nina miaka 21nasoma APA Mosh na nna kaa APA Arusha nataka nianze ufugaj wa kuku APA mkoani Arusha nataka kufaamu wap ntapata kununua kuku namaanisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua Namna ya kutengeneza madini ya mifugo (mineral block) ya kulamba kwa njia ya kienyeji.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari? Ndugu zangu mliopo makazini,mijini au wenye fedha kiasi ambao wanapenda kujishughulisha na shughuli mbalimbali ili wajiongezee kipato. Kuna watu wanafanya kazi hawana muda...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Ninashida na kuuliza Dawa ya wadudu nipo ktk shamba la matikiti nahitaji kubadilisha Dawa baada ya Kuona Dawa nitumiayo haina madhara kwani wadudu wana endelea kula niche yangu Sasa nimeadhimia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habar wadau, Ninatafuta MTU ambaye ni mwelevu,mwaminifu na mwenye kkujituma ili tulime nae kitunguu hheka nne.shamba zipo nzur sana ambazo zinauhalika WA kutoa gunia si chini ya gunia 80 kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Naomba msaada kwenu,nyumbani kwangu kuna sisimizi wengi sana, nimejaribu kupulizia dawa,ila bado wanarudi tu, naomba msaada kwa yeyote anayejua dawa ya kuwaangamiza au suluhisho...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani mimi ninakofugia kuku kuna nyani, kuku wangu wanaliwa sana nifanyeje?
2 Reactions
63 Replies
11K Views
Tufundishane
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Habari Wanajf? Kwa yeyote mwenye knowledge ya kilimo cha vitunguu maji tushauriane juu ya namna bora ya kulima zao hili Ningependa kufahamu mambo yafuatayo:- Aina ya udongo Aina ya mbegu Mbolea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, Nimeamua kujiajiri katika kilimo cha mboga mboga, lakini napata changamoto ya maji. Naomba mwenye uelewa na hizi pumpu za maji za ardhini anipe mwanga wa gharama ya pump na pia ina...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Hallo ndugu naomba kujua ili niweze sajiri lasimi kikundi cha wakulima nifanyeje hatua zake, inachukua muda gani, gharama yake hadi kumaliza ni kiasi gani, vitu vya muhimu inavyobidi niandae...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wakuu ..naombeni kufaham maeneo ya kilimo kuanzia mlandiz adi kibaha
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Mara nyingi sana nimekuwa nikitembelea jukwaa hili. Ninachokuja kukiona ni kuwa thread nyingi ni za kufikirika na hazina uhalisia. Mimi binafsi nataka nijiingize katika kilimo lakini nashindwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wajasiriamali wezangu, nimenunua Kuku tetea wa kienyeji ambaye amenivutia kumfuga,ila fuko lake la chakula limejaa toka Jana kiasi kwamba anapata shida kugeuza shingo,na ameanza kutochangamka. Je...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naombe mnijuze faida za ufugaji huu wa kisasa wa kuku wa mayai kwenye cages! Nimekuwa mfugaji kwa muda kidogo ila tatizo ni kuku kudonoana, nimesikia ufugaji wa cages unamaliza kabisa hilo...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mkuu, mambo vipi? Naomba ushauri wako. Kuna eneo naweza kupata Kibondo (Kigoma), nahitaji nipande miti ya mbao. Nimeambiwa miti hii inastawi Kibondo. 1)Acrocarpus (2)Casuarina spp (3)Cedrela...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Heshima kwenu ndugu zangu.. Me napenda kuuliza hivi siwezi anza kulima vitunguu kipindi hiki..? Kuanzia mwezi huu
2 Reactions
50 Replies
12K Views
Habari wana jf, katika kukimbizana na maisha ninampango wa kulima mbaazi na choroko mkoani mtwara, zinastawi sana. nipo katika mchakato wa kujua soko/wanunuzi wakubwa hapa nchini ili niwe na...
0 Reactions
49 Replies
22K Views
Ni kikundi cha watanzania ambao wamemua kutengeneza mtandao wa masoko kwa bidhaa za kilimo ambao utapunguza kwa kiwango cha juu utapeli wa madalali ambao Leo hii wanachukua asilimia 40 Ya mzigo...
6 Reactions
25 Replies
6K Views
Mimi ni mfugaji mdogo kitu kinacho niumiza ni aina gani ya chakula natakiwa niwapatie vifaranga. *naitaji kufahamu magonjwa ya Kuku na dawa ambazo natakiwa niwapatie vifaranga...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom