Naitaji kufahamu kuhusu ufugaji wa kuku wa mayai!

Jun 3, 2016
5
1
Naomba kwa anayejua anifahamishe! Uwa wananza kutaga kwa muda gani.. Na kuku mmoja anataga mayai mangapi kwa siku!... Pia kuhusu chanjo zao dhidi ya magonjwa!.. Msaada wana JF.
 
Kwanza utuambie unafanyia shughuli zako wapi? Alafu kila shughuli kabla hujaanza lazima ujifunze kiasi flani. Huku JF kuna threads nyingi sana kuhusu ufugaji wa kuku, lakini ukisema uko wapi unaweza kukutana na wenzako ambao ni wazoefu na wako karibu yako,
 
Hapa Dar na ufugaji pia ni dar..
 
SEMINA DODOMA TANGAZO.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom