Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,007
Nilikuwa kwenye maonyesho ya nanenane hapa Mbeya. Nimejifunza mambo mengi kwenye vitalu vya Jkt nimejifunza kuhusu kilimo cha mboga mbalimbali exotic kama Kandoro, lettuce, turnip na nyingine inaitwa beet roots. Pia wanafundisha ufugaji wa nyuki, samaki, kuku, ng'ombe na sungura.
kwenye banda la TANAPA nimejifunza mambo mengi ya kuvutia.
kwenye banda la Yara nimejifunza mambo mengi kuhusu matumizi sahihi ya mbolea
kwenye wizara ya maji na umwagiliajji nimejifunza kwa uzuri sana kuhusu schemes za umwagiliaji. wanafundisha vizuri sana.
pia nimekula chips, nyama choma, fanta passion, juisi ya ukwaju na sambusa. pia kuna burudani mbalimbali za mziki.
wewe umejifunza nini nanenane ya mwaka huu?