SIASA ni KILIMO
"Tangu Mwaka 1967 tumekua tukisema kuwa "Kilimo ndicho Uti wa mgongo wa maendeleo yetu". Mwaka 1972 tukatoa mwongozo wa "Siasa ni Kilimo".Mwongozo huo una mambo yote muhimu...
Habari wanajf.naitaji msada wenu kuhusu uwekezaji katika kilimo au ufugaji ni upi unalipa angalau kwa haraka... Kwa mtaji wa 4M. Nipo moshi tafadhali.... Naomba Msaada wa mawazo yenu tafadhali
Nilikuwa kwenye maonyesho ya nanenane hapa Mbeya. Nimejifunza mambo mengi kwenye vitalu vya Jkt nimejifunza kuhusu kilimo cha mboga mbalimbali exotic kama Kandoro, lettuce, turnip na nyingine...
Waungwana habari za leo.
Kwa wale wafugaji wa ng'ombe na wajuzi wa maziwa, naomba kujulishwa njia nzuri ya kugandisha maziwa ambayo hayatajitenga na maji.
Kwa sasa nagandisha maziwa kwa...
wakuu habari nimefikiria kuhusu products za aloevera kama, dawa za mswaki,mafuta na bidhaa nyingine nyingi, naomba kufahamu aloevera inalimwa wapi, kwa upande wangu cjawahi sikia, aloevera...
Je wewe ni mkulima? Pata elimu juu ya mazao yako kwa kujiunga group la watsup ambalo utapata elimu juu ya mazao yako kwa kuuliza maswali na kupata majibu kutoka kwa watalaamu waliobobea kwenye...
Hi wanajamvi.Hii ni post yangu ya kwanza kwenye jukwaa la ujasilimia mali bt nimekuwa mfuatiliaji wa jamii forum kwa mda mrefu.Mimi ni kijana wa kitanzania niliyemaliza chuo kikuu k1 huko moro na...
Wakuu habari zenu!!
Nimepata habari kwamba kuna biashara ya mahindi huko Sumbawanga, mahindi yananunuliwa vijijini na wanawauzia wakongo!!
Kilichonifanya nilete hii thread ni kutaka kujua hali...
Habari wataalamu wa kilimo na ufugaji.
Naomba kufahamu maonesho ya nane nane morogoro huwa yanafanyika katika viwanja hivyo hata kama sherehe hazifanyiki mkoani hapo kitaifa?
Naomba kufahamu...
Wadau naombeni mnifahamishe, nataka kupulizia dawa ya sulphur katika mikorosho yangu.
Ni wastani wa kiasi gani cha sulphur kinatumika kwa mkorosho mmoja? kilo?nusu? robo? nk
BIG UP for JamiiForums [ Jukwaa la Ujasiriamali & Jukwaa la Ufugaji na Kilimo ] Be blessed
Wakuu, tunawasalimu !
Tunapenda kutumia fursa hii kuwakilisha kile tunachoamini ni ‘mpenyo’ kwa wengine...
MTANZANIA ATAWEZAJE KUPATA
MKOPO?
Mikopo inatolewa kwa kila
mtanzania bila ya kuwepo na
ubaguzi wa aina yoyote huduma
zetu ni stahiki kwa kila mtanzania
ambae ni mjasiriamali,mtumishi
wa...
Wanajamvi habari za mda huu!!
Mimi kwa ufupi ni mhitimu stashahada ya ualimu 2015 .... Wadau baada yakumaliza chuo nimeingia mtaaani nimefundisha tempo nimefanikiwa kupata kiasi cha 1,500,000...
Mambo kwa Mara nyingine.
Kumfundisha Kuku tabia inawezekana na ina faida kwa mfugaji. Ntaelezea machache Mimi ninayo yatumia na yanipayo faida
Nilianza na Kuku wachache sana ila nilivyo itumia...
Wakuu salam
Nina project yangu ambayo mali ghafi kuu ni miwa.( sio sukari).
Project hii itafanyika Dar ambapo nataka kufungua small scale sugarcane juice ambayo inakua bottled.
Hivyo Nahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.