Hiki kikifanyika tutafuga kwa tija na kuuza mazao yetu ya mifugo nje

baiser

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
1,459
2,190
Ndugu wana jf jukwaa la mifugo ni dhahir kuwa nchi yetu ni ya tatu kwa wingi wa mifugo africa ikiichwa na Ethopia na Sudan lakin pato lake ni dogo katika uchumi wa nchi hii inatokana kutokufuga kitaalamu na pia hii fani kuingiliwa na vishoka ambao hawana taaluma hii hivyo kutoa ushaur wa kufikilika usiokuwa wa kitalamu pamoja na kutibu mifugo kutumia madawa bila kujua kiwango halis cha kuchoma hivyo wadudu kustahimil dawa na pia mazao ya mifugo kuwa na mabak ya dawa na hivyo kutoruhusiwa kuuzwa nje ya nchi kwan maabara zao hutambua hili tatzo .swala ni kwann sheria isitumike kuzuia hili ?kwann vishoka wamekuwa wengi? na je bila kuchukua hatua unafikir mwisho wake ni nn? MAONI TAFADHARI ILI TUTATUE TATZO
 
Tatizo lingine kila mtu anafanya kibinafsi,kwa hiyo uzalishaji unakua katika viwango visivyofanana kiubora,tungekua na vijiji vya kilimo biashara ambapo wafugaji na wakulima wanajiunga katika vikundi na kuweka wasimamizi wa miradi ambao ni wataalamu kungekua angalau na uhakika wa soko pamoja na ubora unaofanana katika uzalishaji.
 
Back
Top Bottom