shumbimadelu
Senior Member
- Jan 8, 2013
- 185
- 64
Hi wanajamvi.Hii ni post yangu ya kwanza kwenye jukwaa la ujasilimia mali bt nimekuwa mfuatiliaji wa jamii forum kwa mda mrefu.Mimi ni kijana wa kitanzania niliyemaliza chuo kikuu k1 huko moro na ninaishi ukanda wa ziwa tanganyika.Leo la kuandika post hii ni kuwaomba ushauri juu ya biashara ya kuuza unga wa mahindi nchini kongo 7bu ni karibu na mkoa ninapoishi.Je nifanyaje ili nifanikishe hii biashara?Mtaji ninao ila cna nijuacho kuhusu hii biashara.Naomba mnishauri wanajamvi nianzie wapi?Naomba mawazo na mwongozo wenu