Maonyesho ya Nane nane Morogoro

Maonyesho ya Nane nane Morogoro

Inamonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
779
Reaction score
476
Habari wataalamu wa kilimo na ufugaji.

Naomba kufahamu maonesho ya nane nane morogoro huwa yanafanyika katika viwanja hivyo hata kama sherehe hazifanyiki mkoani hapo kitaifa?

Naomba kufahamu kuna vitu nataka nikajifunze hapo.
 
Wakati huu yanafanyikia wapi wakuu nataka nikajifunze nianze ukilima rasmi
 
Maandalizi yanaendelea vipando na mazao tofauti yamestawishwa kutoa shamba darasa kwa wageni watakaofika kujifunza, karibu sana mji kasoro bahari
Tuna kuja mkuu..
 
Leo yamefunguliwa rasmi na waziri mkuu kwa hotuba nzuri yenye tija kwa wakulima, akiambatana na mkuu wa mkoa wa DSM, wakuu wa wilaya za DSM, Tanga na Pwani.
 
Back
Top Bottom