Annie Nyaga amefanya kitu ambacho kimebadiisha fikra za watu wengi hasa vijana wa kiafrika,na hii ilikuja baada ya jina lake kuchomoza katika orodha ya vijana mamilionea nchini Kenya wakati huo...
Hizi ni baadhi ya picha zinazoonyesha upekee wa Hifadhi ya ZIWA MANYARA ambayo :
1.Hifadhi pekee na maarufu sana ambayo Simba wake wanapanda miti. Aina hii ya Simba hupatkan ZIWA MANYARA pekee...
Hello JF,
The other day I posted that I was selling a dog for $2000 and the responses I got,well while some were appreciative others were down sarcastic but most of all misinformed about the dog...
Kuna matapeli wanajifanya wana kampuny ya kutengeneza incubator na kuuza na kampuni yenyewe ni pretty development for reduction nimatapeli msijiloge kuwatumia ela na wala msisumbuke kuwatafuta...
Ndugu wana jamii wenzangu najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta wateja wa asali na mafuta ya ubuyu.mimi naishi Dodoma nimeanzisha kampuni yangu nashughulika na ufugaji wa nyuki na zalisha asali...
Ni matumaini yangu kuwa wote muwazima hapa jukwaani, kinyume na hapo ni mipango ya Mungu.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina long term plan nyingi kimaisha, lakini hili la kupanda miti...
Jamani wadau naomba kujuzwa hili. Jana katika kutafuta ndege aitwaye kanga ili nianze kufuga, nikakutana na hili; eti ukiwa Malaya kanga hawatagi na watakukimbia????
Nimeambiwa na mfugaji mzoefu...
HEBU CHUKUA KALUKUKETA YAKO, TUFANYE HESABU..!!
Eka moja ya shamba la papai inaweza kuingiza miche 1000-1200(elfu moja hadi elfu na mia mbili)-zile mbegu fupi. Tufanye umepanda miche 1,000. Mti...
Wakuu nimenunua springa kwa ajili ya umwagiliaji busitani yangu ila kila nikiweka kwenye pipe inavujisha maji tu na sio kurusha, tatizo itakuwa nn naomba msaada maana sijawahi kuitumia, naomba...
Je unaogopa kuambukizwa na ugonjwa wa malaria ?
Ikiwa jibu lako ni ndio basi nakupa ushauri nasaha,, Fuga kuku !
Utafiti umebaini kuwa ,harufu ya kuku inaweza kukulinda dhidi ya maambukizi ya...
jaman wapendwa nataka kulima mpunga huko kahama,,lakn sijui nianzeje kwa gharama kias gan,sjui muda wa kupanda na kuvuna,lbei ya mbegu kwa heka moja.naomba msaada
kwa
mawasiliano
0769586126
Wadau,
ktk pita pita yangu mashambani nilikutana na kisa hiki ktk picha,baada ya kuwafumania wafugaji jamii ya kimasai wakiwa wameingiza ng'ombe ktk shamba la mkulima ktk kijiji cha...
Wadau habari!narudi tena jukwaani kwa wale ndugu zangu wajasiliamali na wote ambao wana idea juu ya soko la pili pili mbuzi kwa ndani ya nchi na nje ya nchi pia kama itawezekana,kwa yeyote mwenye...
Wakuu nashukuru kwa mada mbalimbali humu jamvin kiukweli nimepata faida nyingi tangu nijiunge hapa. na sasa nimekuwa mkulima mzuri wa zao la tikiti maji ,nimefanya hivi zaidi ya mara mbili na...
HII ITAKUSAIDIA NDANI YA MWAKA MMOJA UTAANZA KUISHI BILA KUTEGEMEA MSHAHARA WA MWAJIRI.
Tunasema "fire your boss" ....kipato kinapokuwa kidogo au mshahara ukaisha huku mkononi bado umeshikilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.