zugimlole JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,085 Reaction score 1,361 Aug 9, 2016 #1 Habari zenu wanajamvi Msaada wa kupata mti wa MMUMUNA hapo ni kwa lugha asili ya kinyamwezi Wajuzi wa miti botanist nataka kujua jina la kitaalamu pamoja na eneo inapopatikana Natanguliza shukrani Asanteni sana
Habari zenu wanajamvi Msaada wa kupata mti wa MMUMUNA hapo ni kwa lugha asili ya kinyamwezi Wajuzi wa miti botanist nataka kujua jina la kitaalamu pamoja na eneo inapopatikana Natanguliza shukrani Asanteni sana