wakuu habari nimefikiria kuhusu products za aloevera kama, dawa za mswaki,mafuta na bidhaa nyingine nyingi, naomba kufahamu aloevera inalimwa wapi, kwa upande wangu cjawahi sikia, aloevera inalimwa wapi..... wenye viwanda wanapata wapi aloevera,,,,au wanatumia ingredients