Msaada: Nahitaji kujua mikoa inayozalisha Miwa kwa wingi

hiden

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
376
691
Wakuu salam

Nina project yangu ambayo mali ghafi kuu ni miwa.( sio sukari).

Project hii itafanyika Dar ambapo nataka kufungua small scale sugarcane juice ambayo inakua bottled.

Hivyo Nahitaji kujua mikoa/ wilaya inayozalisha miwa kwa wingi. Miwa hiyo iwe ni mirefu na yenye maji mengi au mitamu.

Napenda kujua bei ya muwa mmoja.
 
Kilombero na Mvomero mkoani Morogoro,ungeenda ukapata information za kutosha
 
Panda Treni ya Tazara kutoka DAR, SHUKA kituo cha katulukila au mang'ula - moro uakaribishwa na mashamba ya miwa!
 
Back
Top Bottom