Nahitaji kuku wa kufuga aina ya chotara, niko Mwanza

Nahitaji kuku wa kufuga aina ya chotara, niko Mwanza

Super H

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
1,070
Reaction score
405
Heshima kwenu wadau.
nataka nifuge hao kuku wa chotara ila niwanunulie hapa hapa mwanza hizi za kusafirishwa sitaki naogopa kuigizwa town.
_asanteni
 
kumbe mwanza hakuna wafugaji?

Ninaamini wapo, isipokuwa huenda hawapitii hapa kwa kuwa Mtandao huu na Jukwaa hili "limetekwa" na Watu wa "Ndalisalama", "Mlogolo", "Alusha" na "kwengine" mbali na "Ng'wanza"

Namshauri Mleta Uzi, wakati anaendelea kusubiri majibu hapa kama yatapatikana, aongee na Wataalamu ya Mifugo.Kwa kuwa wao wanazunguka sana, watamjulisha ni wapi anaweza pata hao Chotara huko ndani "Rock City"
 
mkuu. Chasha hata nikitaja hayo majina wafugaji wenyewe hakuna hapa mwanza itasaidia nini?
 
Last edited by a moderator:
Wapo hata hapa wengi tu hebu google kuku chotara mwanza utawaona. Nakumbuka kuna Tutor B nk.
mkuu. Chasha hata nikitaja hayo majina wafugaji wenyewe hakuna hapa mwanza itasaidia nini?
 
Last edited by a moderator:
naogopa akinina kitomari jamani
 
Acha woga, wewe umeamua kuoga sasa eti maji ya baridi, wanamwanza wapo shida wengi wanazani huu uzi na watu wa dar etc
 
Heshima kwenu wadau.
nataka nifuge hao kuku wa chotara ila niwanunulie hapa hapa mwanza hizi za kusafirishwa sitaki naogopa kuigizwa town.
_asanteni
Mpigie huyu dada simu ,yuko Mwanza na ni biashara yake,ana kuku wazuri na exception 0754 063 749
 
2500 kifaranga cha siku 2 na 3500 cha wiki mbili chenye chanjo zote
 
Back
Top Bottom