donata fredy
Member
- Jul 22, 2016
- 45
- 84
Mambo kwa Mara nyingine.
Kumfundisha Kuku tabia inawezekana na ina faida kwa mfugaji. Ntaelezea machache Mimi ninayo yatumia na yanipayo faida
Nilianza na Kuku wachache sana ila nilivyo itumia hii mbinu nilifanikiwa na nilipata matunda. Siku Kuku walipo anza kutaga nilipata kwa kila Kuku mayai 10 na nilitaka mayai 10 kwa kila Kuku. Hvyo nikawa na mayai 60.
Siku ya kuatamia niliwapokonya wengine Mayai kila Kuku nilimpa mayai 15. Nikawa na kuku 4 kwa wale walio atamia
Wawili waliendelea kutaga baada ya kukosa mayai. baada ya siku 22 nilikuwa na vifaranga 57 bahat mbaya mayai ma3yaliharibika. Vigaranga baada ya kutotolewa niliwapokonya kwa mama yao siku ile ile ya kwanza. Wakat huo nilisha andaa mayai mengine 60 ili niwape tena waatamie na walifanya hvyo Mara 3 double. Wale wawili waliendelea kutaga Mara 3 pia bila kuatamia..
Funzo langu ni
Kuku ukisha mfululiza Mara 3 kuatamia anakuwa tayari ni wakuatamia tu. Unaweza ukamuacha apumzike hata wiki kila amalizapo double na chakula chakutosha. Nakuhakikishia hawezi kutaga.
Kuku anaye taga anauwezo Wa kutaga bila kulalia kwa muda lkn isizidi Mara 3
Ndani ya mwaka nilikuwa na Kuku 300
UFUGAJI unalipa ukiwa na nia.