mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
Wanajamvi habari za mda huu!!
Mimi kwa ufupi ni mhitimu stashahada ya ualimu 2015 .... Wadau baada yakumaliza chuo nimeingia mtaaani nimefundisha tempo nimefanikiwa kupata kiasi cha 1,500,000. Naombeni mnisaidie mawazo nifanye nini ili nijiokoe hii ya kutumia mda wangu wote kwa muajili wangu!!!