Nilitarajia kwenye maonyesho hayo ningeona hivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] badala yake nimeambulia kushuhudia vinginevyo na wenye maonyesho yao ambao ni wakulima na hawa bila...
Wananchi wa halmashauri ya Malinyi wameendelea kujiunga kwenye vikundi vya watu 150 ikiwa ni sehemu ya kuitikia wito wa Mkuu wa wilaya hiyo uliowata kujiunga kwenye vikundi ili waweze kupatiwa...
Wakuu mimi ni kijana mwenye nguvu na nina mke na Mtoto mmoja nafanya kazi katika kampuni moja binafisi ya ulinzi.nimejaribu kukusanya mtaji ili nikafanye kilimo nimeshindwa wandugu kama kuna...
Halmashauri ya wilaya ya Malinyi, chini ya mkurugenzi wake na mkuu wa wilaya hiyo wamedhamiria kuhakikisha wilaya yao inakuwa kitovu cha kilimo cha mpunga, tayari halmashauri hiyo imeanza...
Miaka ya karibuni huku kusini haswa mikoa ya mtwara na lindi kuna mazao huwa wanayategea kwa kuwa na bei mzuri pindi yanapouzwa.
Miongoni mwa mazao hayo ni
-ufuta
-mbazi
-korosho
Bei ya mazao hayo...
Heshima zenu wakuu.
Siku za nyuma nilisikia kuwa kuna maeneo kigamboni wanalima matikiti maji (Watermelon).
Kwa yeyote anayefahamu haya maeneo iwe jirani na DSM au iwe kigamboni kwenyewe ambapo...
Mkurugenzi wa halmashauri ya Malinyi, Mheshimiwa Ndimbwa (DED) akifanya ukaguzi wa mashamba ya wakulima yaliyopo kijiji cha Itete wilaya humo.
Halmashauri imeanza kutoa mbegu bure kwa wanakijiji...
Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako...
GARLICIDAL-Hii aina ya sumu itokanayo na vitunguu saumu+mafuta ya taa. Chukua v/saumu vikubwa 3, visage/vitwange kisha weka ndan ya mafuta ya taa lita 1 na uviache siku 2 kisha uchuje hayo makapi...
Nina mpango wa kuanza kufuga kuku wa mayai. Na mipango yangu ni kuanza na vifaranga 250.. kwa ambao tayari wana mradi kama huu naomba kujua maelezo zaidi hasa kwenye
1) Bei ya hawa vifaranga 250...
Habari zenu wanajamvi
Msaada wa kupata mti wa MMUMUNA hapo ni kwa lugha asili ya kinyamwezi
Wajuzi wa miti botanist nataka kujua jina la kitaalamu pamoja na eneo inapopatikana
Natanguliza...
Ndugu wana jf jukwaa la mifugo ni dhahir kuwa nchi yetu ni ya tatu kwa wingi wa mifugo africa ikiichwa na Ethopia na Sudan lakin pato lake ni dogo katika uchumi wa nchi hii inatokana kutokufuga...
Wanajukwaa nawasalimu. Napenda kufahamu kwa waliokwenda nanenane morogoro kukoje??? Maana nami nataka nijongee huko jumapili nishinde pamoja na jumatatu
Habari wadau.
Ni miaka mingi sasa tumekua tukiambiwa na kuaminishwa kua kilimo ndio uti wa mgongo wa Taifa letu, kauli mbiu nyingi sana tumezisikia kuhusu kilimo na hamasa pia kutoka serikalini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.