Wapiganaji habari za leo ...
Nimekuwa kwenye kujaribu kila ushauri niupatao hapa Jf kwenye ujasiriamali na namshukuru Mungu kwamba kuna vitu nimevifanyia kazi vikaleta matokeo chanya. Sina budi...
Habarini waheshimiwa.!!
kutokana na watu kuwa bize sana na kazi zao na kushindwa kufanya kilimo japo wanapenda. mimi nimeamua kuwasaidia watu wa namna hiyo, yaani hivi tunakubaliana unataka...
Habari za mihangaiko wakuu, msaada mwenye uzoefu nataka nianze biashara ya kuchukua mahindi mikoani na kuleta dar kwa ajiri ya kusaga unga na mengine kwa ajiri ya kuuza, sehemu ya kusagia...
Wapendwa naombeni kujuzwa kuhusu wapi nitapata mbegu nzuri ya kuku wa mayai maana nilishauriwa niagizie Uganda lakini inasemekana kwamba Serikali imezuia uingizaji wa vifaranga kutoka nje.
Shukrani
Habari wana jf, mimi ni kijana nataka kujikita kwenye suala zima la kilimo,sasa nina shamba langu maeneo ya zombo wilayani kilosa lakini hilo shamba langu lipo mbali na mto.Dhumuni la kuja hapa...
Ongezeko kubwa la mahitaji ya matunda na mboga limefanya kilimo cha horticulture kukua kwa kwasi na kuwanufaisha wakulima wengi....
Watalam Wa Kilimo hicho wanawaletea Huduma maalum ya kitaalam...
naulizia jamani kwamba nawezaje kupata kuku chotara ambao nitawafuga kama wa kienyeji ambao ni chotara unawaachia wajitafutie chakula wenyewe mchana lakini usiku na hata mchana natenga pahala pa...
Wakuu natumai mu wazima.
Ninataka kufanya hii biashara ya kununua matunda kama vile matikiti au mananasi wakati wa msimu kwenye mashamba alafu nitafute eneo la kumwaga. Je kuna mwenye ujuzi wa...
JAMII MEMBERS HELLO,
HABARI ZA MCHANA WANA JAMII. NAPIGA HODI JAMVINI. POLENI NA HONGERENI KWA KAZI YA KUFAIDISHA JAMII.
NAPENDA KUWATANGAZIA KUWA SISI NI KIKUNDI CHA WAJASIRIAMALI. TUNA UZA...
LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.
Hapa tutahitaji kuku 11 tu wakubwa wanaotaga yaani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia...
Wana JF kuna mtu anafanya au anaijua hii biashara? Je gharama zake za mwanzo ni kama sh ngapi?
Challange zake kubwa ni zipi?
Je inahitaji uangalizi mkubwa kama biashara nyingine ndogo ndogo ndogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.