Wapendwa mi nko chato mkoani Geita nahitaji kuzalisha uyoga aina ya Manama (oyster) huku chato, kwa haraka nahisi soko lake ni mwanza maana ndiyo mji mkubwa ulio karibu nami, sasa mbegu ntapata wapi na soko kwa mwanza je nilauhakika??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.