Msaada Kilimo cha maboga MOROGORO na PWANI!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Wakuu naomba msaada kujua wapi naweza kuanzisha project ya kilimo cha MABOGA na VITUNGUU kati ya Morogoro na PWANI?
Nafikilia pale Ruvu panaweza faa ingawa sina hakika sana.
Mkuu:malila nakutegemea juu ya hili pls.
Na jee yanakubali vizuri pamoja na vitunguu?wacomoro wamenipa deal ya kuwalimia maboga na VITUNGUU!
Naomba kuwakilisha.
 
Ahsante mkuu kwa msaada wako.
Jee una connection huko?
I mean mawasiliano?wenyeji?ili nifanye utaratibu wa kuvamia hiko kwa uchunguzi.Na bei zao kwa heka kukodi/kununua ni bei gani?
Ngoja kuna mshikaji anaishi maeneo ya mlandizi,ngoja nimtafute pengine anaweza kuwa na msaada kwako.
Ongera kwa kuona mbali mkuu.Maana hapa mjini pameshakua pagumu.
 
Mkuu mandieta,
mimi nina shamba la ekari 13 hapa morogoro, ila bado halijasafishwa ni pm kwa maelezo zaidi km utahitaji kukodi
 
Jee ni lazima wewe ulime,waweza nunua na kuwasupply.......kama uko tayari tukae mezani
 
Ahsante mkuu kwa msaada wako.
Jee una connection huko?
I mean mawasiliano?wenyeji?ili nifanye utaratibu wa kuvamia hiko kwa uchunguzi.Na bei zao kwa heka kukodi/kununua ni bei gani?

Mkuu mandieta, sikuiona hii thread.
Je umeshafanikiwa kupata plot?
 
Maboga ni deal kubwa sana mkuu.
Nasikia maeneo ya rukwa yanakubali sana.
 
mimi mwenyewe nimelima maboga na ndo nayauza mwezi huu mtukufu wa ramadhani nitafute kwa 0763360002
 
Back
Top Bottom