Natafuta soko la Mbaazi

Natafuta soko la Mbaazi

enery

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2015
Posts
368
Reaction score
439
Habarini za mchana wana jukwaa,

Samahani natafuta soko la Mbaazi kwa ambaye anafahamu kwa Dar es Salaam linapatikana wapi nikiwa na mzigo tafadhali naomba anijuze.

Nipende kuwatakia mchana mwema na kazi njema.
 
Habarin za mchana wana jukwaa, samahan natafu soko la Mbaazi kwa ambaye anafahamu kwa dar es salaam linapatikana wapi nikiwa na mzigo tafadhali naomba anijuze. Nipende kuwatakia mchana mwema na kazi njema.
Kwa upande wangu cjaelewa ata kimoja ulicho andika
 
Kwa upande wangu cjaelewa ata kimoja ulicho andika
Nahitaji kuuza mbaazi kama nikipeleka dar es salaam soko linapatikanaje? Hicho ndicho ninachokihitaj kufahamu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom