enery
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 368
- 439
Habarin wana jukwaa, naomba ushauri kwa wataalamu na wajuzi wa kilimo, baada ya maisha kutaiti ktk mwaka huu w 2016, niakona si vibaya kunari u kitoma mjin na kijarib fursa shamba, lkn nilikuja kwa kujipanga kulima nyanya, sasa nimekuta nyanya huku inauzwa mpaka ujazo wa ndoo ya lita 20 tshs 1000, sasa najarib kuwaza je hii bei itapanda ama laaah?
Mana naona wengi wamelima tena nyanya huku japo kuna mdololo wa soko, nawasilisha tafadhal ushaur labda zao gan laweza faa kwa ss na likanitoa
Mana naona wengi wamelima tena nyanya huku japo kuna mdololo wa soko, nawasilisha tafadhal ushaur labda zao gan laweza faa kwa ss na likanitoa