Habarin wana jukwaa, naomba ushauri kwa wataalamu na wajuzi wa kilimo, baada ya maisha kutaiti ktk mwaka huu w 2016, niakona si vibaya kunari u kitoma mjin na kijarib fursa shamba, lkn nilikuja...
Kama title ilivyo wapendwa,sina nijuacho sana kuhusu abc ya biashara hii,ni moja tu ndilo ninalolifahamu kuwa kwa hapa nilipo chakula hicho kitauzika sana maana kuna wafugaji wengi wa nguruwe na...
Jaman wanajamvi habari zenu mimi nipo Dodoma nilkua naomba nipate elimu juu ya ufugaji kuku wa mayai kulingana na sehemu niliyopo kwani kuna baridi alafu nina mtaji wa 300000...je nifanyaje na...
Hebu tuone nini unstakiwa ufanye ili nyanya ikufaidishe.
-Kwa sasa kuna mdudu anaitwa Tuta Absoluta.. au waswahili wanaimuitaKanitangaze (MAANA AKIKUVAMIA SHAMBANI HAKUNA NAMNA UTAACHA KWENDA...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili.
Naomba msaada kwa anayefahamu wapi ntawapata wataalamu wa kupima udongo kwa ajili ya kilimo hapa Dar es salaam anisaidie tafadhali. niko katika hatua za awali za...
Habarini wana-jf'ers. ninategemea kufungua frame yangu ya biashara ya mobile phone repairs... na nina mtaji wa kununua vifaa muhimu kama blower...desktop computer na vifaa vyake...
Wakuu naomba msaada kujua wapi naweza kuanzisha project ya kilimo cha MABOGA na VITUNGUU kati ya Morogoro na PWANI?
Nafikilia pale Ruvu panaweza faa ingawa sina hakika sana.
Mkuu:malila...
Wandugu habari za kwenu. Naishi Moshi nahitaj kujitupa shamban mazima. Naombeni msaada kwa wanaoifaham vizur Tanzania. Ni eneo gani naweza pata mashamba ya kununua kwa bei nafuu kama Hector 10 kwa...
Jaman wana jf nataka kuanza kufuga kuku Wa kienyeji! sasa sijui wanachukua mda gani tangu watotolewe hadi kufikia kuweza kuliwa! naombeni msaada! wenu!
Wana Jf nauza mbaaz kuna mtu aliniambia kuwa AZAM wananunua kwa bei nzuri ila kwa sasa hawapo Dar wako mashambani na me sina mawasiliano yao hvyo naomba msaada kwa yeyote mwenye mawasiliano yao...
Habari wakuu?
Naomba kwa mwenye contact za watu wanao dili na mifugo pale uwanja wa ndege wa Nyerere anaipatie nina shida nao sana, nataka mwongozo fulani wa mambo ya mifugo.
Kaka yangu amehamishiwa dodoma, ameniachia shamba la ekari zaidi ya 10 huko mkuranga (mwarusembe), nataka nifanye kilimo cha kisasa.
Shamba hilo lilikuwa pori kubwa tu but nimelifyeka tayari na...
Habari wanajamvi naulizia soko au mkoa ambao naweza pata ngozi punda kwa ajili ya Biashara nataka idadi yyte nkikusanya nitapata tani nitakazo
Mawasiliano
0716561026
Wadau habari?
Nimefuatilia sana mitandaoni kuhusu hawa kuku aina ya Kuroiler, nimetokea kuwapenda kwa jinsi wanavyosifiwa ila sina uzoefu nao. Sasa kwenye pita pita zangu za kutaka kujua wapi...
ni 35 kwa 35 huku maji kibao,miti ya kujengea banda takupeleka pahali ukate mpaka ukmbie bure,njoo ufuge kuku hapa kwangu ni mpakan mwa kibaha na kisarawe umaskini si wa kuendekeza.nicheck 0764726071
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.