Nataka kufanya biashara ya chakula cha mifugo

Nataka kufanya biashara ya chakula cha mifugo

MC Chere

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
586
Reaction score
400
Kama title ilivyo wapendwa,sina nijuacho sana kuhusu abc ya biashara hii,ni moja tu ndilo ninalolifahamu kuwa kwa hapa nilipo chakula hicho kitauzika sana maana kuna wafugaji wengi wa nguruwe na wanatafuta sana chakula cha kulisha nguruwe,na bei yake wananunua kati ya 2000-2500 kwa debe 1 ya pumba.
Hitaji langu ni wapi nitapata sehemu ambayo pumba inapatikana kwa wingi na inauzwaje ili niboreshe hili wazo?
Una kipi zaidi cha kunishauri juu ya hili wazo?

NITASHUKURU KWA MICHANGO YENU.
Place:Kilolo-Iringa
 
Unajua virutubisho vinavyotakiwa katika chakula cha nguruwe? Pumba tu hazitoshi
 
Unajua virutubisho vinavyotakiwa katika chakula cha nguruwe? Pumba tu hazitoshi

Ndiyo hapo sasa,sijui lolote juu ya hii kitu na ndiyo maana nikaja hapa nikiamini kunawenye uelewa wa hili.
 
Ndiyo hapo sasa,sijui lolote juu ya hii kitu na ndiyo maana nikaja hapa nikiamini kunawenye uelewa wa hili.
Nina uelewa kiasi naweza kukupatia a, b, c za shughuli unayotaka kufanya. Nitarejea Na inputs nikipata muda.
 
Back
Top Bottom