K kinyaa Senior Member Jan 30, 2014 155 90 Jun 27, 2016 #1 Naomba msaada wa elimu juuu ya ufugaji wa nguruwe please naomba msaada wenu
G GEITA FARM JF-Expert Member Dec 22, 2015 336 173 Jun 27, 2016 #2 Uko Mkoa Gani ... Mtaji Ulionao Ni Kiasi Gani ... Unataka Kufuga Kwa Malengo Gani ...
Vhagar JF-Expert Member Jun 8, 2015 20,342 39,572 Jun 28, 2016 #3 kaka thread zipo hum zimeelezea vizuri tu. tafuta acha uvivu. utapata kila kitu muhimu kuusu ufugaji huo.
kaka thread zipo hum zimeelezea vizuri tu. tafuta acha uvivu. utapata kila kitu muhimu kuusu ufugaji huo.
Chemtrail JF-Expert Member Aug 15, 2016 827 442 Sep 15, 2016 #4 kinyaa said: Naomba msaada wa elimu juuu ya ufugaji wa nguruwe please naomba msaada wenu Click to expand...
kinyaa said: Naomba msaada wa elimu juuu ya ufugaji wa nguruwe please naomba msaada wenu Click to expand...
Chemtrail JF-Expert Member Aug 15, 2016 827 442 Sep 15, 2016 #5 kinyaa said: Naomba msaada wa elimu juuu ya ufugaji wa nguruwe please naomba msaada wenu Click to expand... .Jamani nyingine hizi ni consultancy,halafu ninyi mnataka bure,sisi tukale wapi?
kinyaa said: Naomba msaada wa elimu juuu ya ufugaji wa nguruwe please naomba msaada wenu Click to expand... .Jamani nyingine hizi ni consultancy,halafu ninyi mnataka bure,sisi tukale wapi?