Moses Cellestine
Member
- Nov 18, 2013
- 29
- 15
Wandugu habari za kwenu. Naishi Moshi nahitaj kujitupa shamban mazima. Naombeni msaada kwa wanaoifaham vizur Tanzania. Ni eneo gani naweza pata mashamba ya kununua kwa bei nafuu kama Hector 10 kwa ajili ya kilimo cha nyanya na vitunguu? Eneo lenye rutuba ya kutosha, mvua za msimu za kutosha, na maji ya karibu kwa ajili ya umwagiliaji.
Nilitaman sana Moro Lakin naona ni kama Moro kila mtu amepakodolea sana macho so naomba ushaur wa sehem yoyote isiyo na shida ya usafiri wa kwenda sokoni popote lilipo. Ahsanten.
Nilitaman sana Moro Lakin naona ni kama Moro kila mtu amepakodolea sana macho so naomba ushaur wa sehem yoyote isiyo na shida ya usafiri wa kwenda sokoni popote lilipo. Ahsanten.