Free Again
Senior Member
- Dec 20, 2015
- 114
- 93
Habari za majukumu wakuu!
Naomba kujua popoo ni nini?(kwa anayelijua zao hili)
Je zinalimwa wapi? Yaani mkoa gani?
Asanteni kwa msaada!
Naomba kujua popoo ni nini?(kwa anayelijua zao hili)
Je zinalimwa wapi? Yaani mkoa gani?
Asanteni kwa msaada!