Asante mkuu.Urefu x upana=?? Lets our answer is 39.4 then x10= >>number of kuku to be kept
Kumbe this is how you calculate number of kuku to kept, so if I need a house for 1000 broiler itakua 20m x 5m=100ms then 100ms x 10=1000?????Urefu x upana=?? Lets our answer is 39.4 then x10= >>number of kuku to be kept
Tukirefer kwenye sheet ambayo ipo attached inataja idadi kulingana na umri je ili kuwa nauhakika na idadi ya kuku kwa banda si inabidi kuzingatia idadi ya kuku wakubwa na si wadogo sababu kuku anakua hawi katiki umri huo huo hadi kufikia hzo week 8 kwa broiler.Kuku wa mayai katika 1 square meters wanakaa kuku 4 na kuku wa nyama wanakaa kuku 16 kwa hiyo chukua urefu zidisha na upana halafu zidisha na 16 kwa broiler utapata jibu sikosei itakuwa kuku 675
Nimepiga hesabu ya kuku wakubwaTukirefer kwenye sheet ambayo ipo attached inataja idadi kulingana na umri je ili kuwa nauhakika na idadi ya kuku kwa banda si inabidi kuzingatia idadi ya kuku wakubwa na si wadogo sababu kuku anakua hawi katiki umri huo huo hadi kufikia hzo week 8 kwa broiler.
Tukichukulia mfano kwa broiler mbona kama watakua wengi mkuu au me ndo nakosea mahesabu.Nimepiga hesabu ya kuku wakubwa
Kiutaalamu sikushauri kurundika kuku zaidi ya 9 wenye umri wa kuanzia wiki 5 na kuendelea.hii itasababisha kuku kukosa hewa ya kutosha na kusababisha vifo vya kuku wengi au kushindwa kukua kwa namna inavyotakiwaBroiler wanapenda sana kubanana kwa hiyo 1 square meters inatosha sana kwa kuku 16